Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,657
- 9,272
Preta Nyati ndio mbogo ni sawa na kusema Tembo na Ndovu
kachanganya madesa
Preta Nyati ndio mbogo ni sawa na kusema Tembo na Ndovu
Sitosahau siku niliyomuua nyati kwa mikono yangu.....
tofauti yake ni nini??Kuna tofauti kubwa kati ya Tembo na Ndovu aiseeee.....
Ndovu ni Tembo na Tembo ni Ndovutofauti yake ni nini??
Ndovu ni Tembo na Tembo ni Ndovu
Sitosahau siku niliyomuua nyati kwa mikono yangu.....
Haya na wewe leta uongo wa hadithi njoo utam kolea.
Mkuu wewe nae ni jipu kumbeeeSitosahau siku niliyomuua nyati kwa mikono yangu.....
Mkuu hii imekaa vizuri,tupia picha
Mkuu mjohoro botanical name ni Senna Siamea wakati mkenge ni Albizia lebeck so they are quite different. Ila nyati ndo mbogo uko right.hakuna tofauti ya nyati na mbogo..ni sawa na mjohoro na mkenge
Mkuu hii imekaa vizuri,tupia picha
wakuu tujuzane hapa kwa nini nyati ana ubavu wa kupambana na simba na kumuua? inafahamika kuwa simba ni mfalme wa nyika na ana uwezo kufanya atakalo ndani ya mbuga, lakini nyati nae ni mbishi sana akikutana na simba lazima pachimbike? sasa kwa nini nyati ana uwezo wa kupambana na simba?
mkuu preta nipe tofauti kati ya nyati na mbogo.
hakuna tofauti ya nyati na mbogo..ni sawa na mjohoro na mkenge
Preta Nyati ndio mbogo ni sawa na kusema Tembo na Ndovu
Nyati na mbogo nikitu kimoja.
Hapo zamani "KikulachoChako" aliuua mbogo...Haya na wewe leta uongo wa hadithi njoo utam kolea.
Nitakujibu vizuri achana na hao wanakuzingua,ona nyati ni mnyama mkali sana tena hana sula ya kupendeza mda wate amekaa kama anaeitafuta shari ilipo,nyati hutembea makundi makundi,lakini ukikutA nyati wako watatu au wawili ni hatari zaidi kuliko wakiwA wako makundi makubwa,ukikuta wako 3 au wawili,ujue nikwamba wametengwa toka katika makundi makubwa na hapo wanakuwa na hasira mara mia yake,ni kwamba katika makundi ya nyati kuna kuwaga na viongozi hao viongozi huwaga ndiyo watemi wa makundi hayo,sasa huwa wanatokea nyati wengine toka kwenye makundi hayo na kupigana na watemi hao,na wakishinda basi ndiyo huwaga viongozi wapya,na wale viongozi yule kiongozi wazamani aliyepigwa hujitenga peke yake kwa aibu na hasira nyingi,sasa ukikuta wako wawili au watatu ujue ni viongozi waliotengwA toka kwenye makundi mbalimbali nakusihi usiwakaribie hao ukikuta wako wawili au watatu QUOTE]
Elimu murua toka kwa Afisa wanyamapori.Ni kweli kabisa uliyoyasema.Nathibitisha hayo,maana niliwahi kuwa muwindaji.