Kwanini ni ngumu sana kupata mwenza mkamilifu

Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au

Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko

Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye chakula cha usiku ni kama kiroba cha nyanya za igurusi

Unakuta mrembo wa kutazamika ila ngoja afungue mdomo (aongee) lazma uone mapichapicha ya kila aina
Hakuna aliye kamilika
 
Saa 11¦5 alfajiri kweli ulinzi ni kukesha
 
Back
Top Bottom