Kwanini ni ngumu sana kupata mwenza mkamilifu

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Apr 20, 2008
724
1,228
Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au

Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko

Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye chakula cha usiku ni kama kiroba cha nyanya za igurusi

Unakuta mrembo wa kutazamika ila ngoja afungue mdomo (aongee) lazma uone mapichapicha ya kila aina
 
Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mioana sijui mtaenda kula vibandani au

Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko

Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye chakula cha usiku ni kama kiroba cha nyanya za igurusi

Unakuta mrembo wa kutazamika ila ngoja afungue mdomo (aongee) lazma uone mapichapicha ya kila aina
madhaifu yoye yanabebeka isipokuwa la kuwa msaliti na mchawi hayo HAPANA..!
 
Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au

Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko

Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye chakula cha usiku ni kama kiroba cha nyanya za igurusi

Unakuta mrembo wa kutazamika ila ngoja afungue mdomo (aongee) lazma uone mapichapicha ya kila aina
Unapata reflection yako, if huwez kuwa mwamifu so is mwenza wako
 
Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au

Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko

Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye chakula cha usiku ni kama kiroba cha nyanya za igurusi

Unakuta mrembo wa kutazamika ila ngoja afungue mdomo (aongee) lazma uone mapichapicha ya kila aina
Huwezi pata mkamilifu akati we mwenyewe si mkamilifu.

Kilicho sahih ktk mapendo ni kupata mtu mnaeendana basi.
 
Being Perfect is Imperfect...., And Perfection by whose Standards ? Kama wote tungekuwa na vigezo vinavyofanana basi wengi wangekosa wenza...

To each their own....
 
Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au

Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko

Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye chakula cha usiku ni kama kiroba cha nyanya za igurusi

Unakuta mrembo wa kutazamika ila ngoja afungue mdomo (aongee) lazma uone mapichapicha ya kila aina
Na wao wanakushangaa kwa usiyoyajua
 
Wewe mwenyewe ni mkamilifu?
 
Back
Top Bottom