MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,052
Kwa maoni yangu naona kama hamkuwatendea haki wakinamama na wadada wa Kenya, mimi nashauri muweke Picha ya Simba dume na jike ili kuweka usawa, lakini pia kusema kuwa alama ya mikiku miwili inaonyesha kabila la wamasai pia sio sawa kwa maoni yangu nashauri mgesema mikuki miwili ni kuwakilisha makabila yote ya Kenya, naomba tujadiliane kwa upendo na amani
Nembo ya Kenya - Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Kenya - Wikipedia, kamusi elezo huru