Kwanini Ndugai hakufungwa wakati alisababisha vurugu?

"ukiona maadui wako wanalalamika, ujue umewatwanga...ukiona wanakusifia, ujiulize mara mbili umeteleza wapi"
Huyo ni mkuu wa kaya, ambaye kwake wapinzani ni maadui. kwa hiyo tutarajie mbinyo mkali zaidi, na "kutwangwa zaidi"

....hadi hapo watwangwaji watakaposema enough is enough na kuamua "kutwanga back"!

na hapo ndipo WW3 itakapoanza rasmi...
 
Nilifikiri ndo jambo jema kwako chadema kama wananchi wakichoka, au?
Ni jambo jema kwenu CCM na ndo mana mnabana uhuru wa kujieleza na kutumia vyombo vya dola kuzuia wapinzani. Hiyo inaonyesha kuna madudu yanaendelea na hamtaki yajulikane
 
Hivi kama nimekupiga ngumi na hukwenda kushitaki mahakamani,,unategemea sheria ichukue hatua gani dhidi yangu??
Wakati mwingine ni vyema tukawa tuna ufahamu wa kutosha kuhusu maswala madogo madogo ya kisheria sio kukurupuka na kufananisha ishu mbili tofauti.

UJINGA NI ZIGO ZITO LA MISUMARI
 

Mkuu, povu la nini.? kwani ulimshitaki ukamshinda mahamani halafu wakashindwa kumfunga.? hebu nijibu mkuu, Ndugai alipompiga huyo unayemsema ULIFUNGUA KESI.? kama aliyepigwa hakufungua kesi, au aliamua kuyamaliza kiundugu, wewe inakuwasha nini.?

Tuambie kwanza hiyo kesi ya Ndugai ilifunguliwa mahakama gani.?
 

Mkuu, humu JF kuna baadhi ya watu uwezo wao wa kufikiria unanitia mashaka sana. Yaani unashangaa mtu anaibuka na hoja mpaka wewe mchangiaji ndio unaona aibu. sasa kama huyu anahoji kesi ya Ndugai, kisa yule Lijualikali kapigwa 6 months.

kuna mwingine humu anamtaka Rais Magufuli aanze kutoa misaada nje kisa alisema Tanzania ni tajiri. Sasa resoning capacities za wadau kama hawa kwa kweli, zinashangaza sana.
 
Reactions: tyc
Bichwa Lako Kubwa Kichwa Fyatu.
Una Uhakika Kama Hakwenda Kulalamika Kutaka Atendewe Haki?
Ishu Imezimwa Kimya kimya Kama Pisi la Sigara Habari Ndiyo Hiyo.

Mutaendelea Hivyo Hivyo Kupikia Misukule ya Ccm.
 
Kwani ulipigwa wewe?mbona una kihere here sana.
Unataka ndugai afungwe wakati hakuna kesi iliofunguliwa?
Jukumu la kushitaki sio la Ndugai
 
Ndungai alimpiga mtu ngumi lakini hakufungwa.kuna wengine walikamatwa na meno ya tembo na silaha nzito lakini wao walitozwa faini.kwanini huu tusiuite udikteta kwa wanao mkosoa!!!.?
Hakumpiga ngumi alimtandika jamaa bakora zile za kuchungia ng'ombe hadi chini
 
Kwa hiyo kushambuliana ni halali?aisee hii kali. Unaulizwa kwa nini umeiba unajibu kwa sababu na yule aliiba. Hii Tanzania jamani!
 
Kumpiga mwananchi na rungu ni sawa? Kwa nini alipata PF3 ya polisi? Unadhani kwa nini aliyepigwa mwisho wa siku alipewa cheo? Mkuu unatakiwa uunganishe dots mda mwingine.
 
Hakuna mahakama ya watu wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…