Kwanini nakubalika sana kwa wanaume kuliko wanawake?

Asseeeh acha udomo zege bana, hata kama hawakukubali jaribu kutongoza 10,lazima mmoja kati yao atakuelewa tu
 
Embu fafanua unakubalikaje kwa wanaume?
ni kwambaa unakuta katika mambo mengi wanaume ndo wananisuppurt na kuniunga sana mkono ila wanawake hapana yani kama vile they dont support. me na kama vile hawako interested. na mm yaanii.... nafikirii umenielewaa boss
 
Haya bwana! Ila sijui kwanini inatokea mwanaume akatamani kuishi kama mwanamke? Au huwa kuna makosa yanatokea katika uumbaji?
 
nani huyo anatamani kuishi kama mwanamke????
 
Ndugu wanajamii,

Leo hii nimejifikiria sana kwa kina katika maisha yangu ya kila siku katika kukubalika kwangu kwa jamii haijalishi hometown au popote pale yani ninajikuta nakubalika sana kwa wanaume yani, ila kwa wanawake sikubaliki kabisa au wanaweza kunikubali kwa muda mfupi tu.

Embu niambieni wanajamii what's wrong with me, mjue nataka hawa watoto mie yani; 2014-single
2015-single
2016-single
2017-single again?

Please nisaidieni kijana wenu.
Ili wanawake wakupende inabidi uwe msikilizaji na pia uwe una wadekeza kama watoto. Inshort inabidi upretend kuishi maisha flani ya kuwa romantic pale unapokuwa nao.
Njia nyingine rahisi zaidi ambayo unaweza kumnasa mwanamke yeyote ni ''PESA'' wewe kuwa mtu wakuwapiga offer na kuwanunulia zawadi yaani bila hata kuongea kuna siku watakupa mzigo Bure kwakua Dada zetu ni watu wa Fadhila na huwa hawasahau fadhila.
 
Pesa sabuni ya roho!... Tafuta pesa, miliki pesa, tumia pesa watakushobokea wenyewe tu mkuu wala hutahitaji akili nyingi kuwakamata!
 
daah man we ni geniuz ayo ndo matatizo yangu man kweli sipo romantic. kabisa afuu kwenye ubembelezajii ndo sippo kabisaaaaaaa
 
great point nigger pesa kila kitu.....bado nazisakaa
 
Mkuu Hizo Single Zisikuzingue! Kama Vipi Tukuunge Na Chama Chetu Cha CHAPUTA.... Hapa Hatushoboki Na Mademu Bali Tunajiripua Kiaina tu Mdogo mdogo Mpaka Unagonga Kamoja Kiroho Safi halafu unavutia Timing Cha Pili unafunga Siku...
 
Hahaa
 
daah man we ni geniuz ayo ndo matatizo yangu man kweli sipo romantic. kabisa afuu kwenye ubembelezajii ndo sippo kabisaaaaaaa
Aisee Badilika bana, unatakiwa uwe msikilizaji hata wanapo ongea upuuzi na vitu vya kijinga. Pili uwe ni mtu wa kubembeleza mademu wanapenda sana kubembelezwa. Pia usiache kuwanunulia vizawadi.
 
sawa kakaa saivi nikikaelewaa kademu ntatumia izo trick
 
Back
Top Bottom