Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Ni kutokana na ilipo ndiyo maana... Ipo Dar ndiyo maana unahisi humu ndani kila member anaishi Dar....


Ni sawa na ukiangalia ITV akili itakutuma wanaoesha vitu vya Dar tu... Star TV utahisi wanaonesha vitu vya mwanza tu, Abood Tv utahisi wanaonesha vitu vya moro...

TBC utahisi wanaonesha vitu vya mikoani na mambo ya kale tu....


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom