Kwanini mke hataki mimi ninunue nguo mpya?

Ni
Wadau nawasalimu,

Hivi karibuni nilikuja kugundua sina nguo kabisa, inafika asubuhi au wakati wa kutoka natafuta nguo kila nayoshika mkononi either inanibana au imechanika kabisa hivyo najikuta narudia nguo za Jana ama Juzi.

Kutokana na tatizo hilo nilipopata pesa nikaenda nikanunua nguo nyingi mara moja ikiwemo mashati, suruali, viatu na kadhalika na perfumes wadau tangu siku hiyo nilipoingia na nguo hizo hadi leo sijapata haki yangu ya msingi kwamba eti nguo hizo nimepewa zawadi na mwanamke wa nje, maana ilikua ni siku moja kabla ya valentine.

Nikamwelewesha kuwa nimenunua nguo kwa kuwa hali yangu ya mavazi ilifikia pabaya, bado akawa mkali akabadilisha kiswahili sasa badala ya kudai nimepewa zawadi na mwanamke wa nje akadai eti nitanunuaje nguo wakati ndani kuna vitu kibao vinahitaji pesa, nikahoji kwa hiyo mimi nitembee kama chokoraa na nguo zilizochoka kisa kuna mahitaji ndani?

Nivae masempele kisa chake nini?

Wakati huo huo yeye kila siku anakuja na nguo mpya wakati mwingine hadi anakopa nguo na kulipa end month mbona mimi sisemi? Au mimi sina haki ya kupiga pamba?

Halafu inakuaje kwa huu mgogoro mdogo hivi sasa analala amevaa nguo nyingi kwa maksudi au nimbake?

Maana mahitaji yote ya ndani natoa ingawa mapungufu hayakosekani kama zilivyo familia zetu za kitanzania.Sasa sijui mnasemaje kwa hili?
Ni wivu tu huo unakuwa anakupenda sana huyo
 
HUYU JAMAA NA IZI MADA ZAKE MKEO HUWAGA NDIO HUYOHUYO MMOJA UNAELETA MASHTAKA YAKE AU WAPO WENGI MAANA HAIWEZEKAN KILA SIKU YEYE TU
 
Hizi ndo hzi basi tu, ss hcho nacho cha kununa yule nae,khaaaaaaaaa,nawe piga kimya tu tena ujifanye huelew lolote, atajirudi mwenyewe, halaf huyo mkeo hapendi ww upendeze, ama kweli tunatofautiana, mm nnavyopenda msela wangu apendeze daaaa
Mkewe mbinafsii hana lolote,.inavonoga unatoka na chalii ako kanyuka vitu classic hadi unatamani kila mtu awaone nyie tuu.....hahahha huyu atakuwa wakuja tuu
 
Mwambie yeye utoa wapi nguo akikujibu chochote kuhusu hilo mjibu kama alivyokujibu alafu kuwa kama mwanaume kamili acha kubishana na jike maana unamamlaka yakuvaa nguo wakati wowote kwa hali yoyote ila kiuhalali ok funguka kaka
 
Basi siku ingine nenda nae aone unajinunulia.

Au mpe risiti (si ulipewa?) aende dukani hapo kama ni mjanja basi ataonga pesa kidogo wafanyakazi wamuonyeshe CCTV iliyokuonyesha unanunua....hahahaaa. Hakuna lisilowezekana ncini hapa ukionyesha wengine wao pesa.
 
Tafuta Substitute ili umalize mchezo. Hapo ndipo utakoona rha ya kuwa na zaidi ya Mke mmoja.

Mtafutie mchepuko njee,ukitoka kazin kwako unapitia kwa mchepuko unapiga mambo yako ukifika home uko hoi unalala tuu
Nyie ndio mnamharibu mwenzenu, mnadhani akikimbia hilo tatizo ndio atakuwa ametatua? Kwanza hivyo ni vitu vya kumalizana wawili bila kukwaruzana.
Siku nyingine msipotoshe vijana wenzenu kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom