Kwanini migodi ya mkoa wa Mara watu wanauliwa sana kuzidi migodi ya mikoa mingine ?

Imekuwa kawaida sana kusikia vijana wanauliwa na polisi kwenye migodi ya mkoa wa Mara wilaya ya Tarime.

Kwanini hatusikii haya migodi ya Geita, Chunya, Kahama, n.k.
 

Attachments

  • E2KLv8rXsAE1-6X.jpg
    E2KLv8rXsAE1-6X.jpg
    86.6 KB · Views: 2
Jana jioni nikapita jirani na mgodi wa North mara kulikuwa na kusanyiko kubwa sana la watu kwa mbali pia niliona polisi wengi juu ya mawe ya mzungu mara ghafla nikakutana na watu wawili mume na mke wakiwa ktk pikipiki huku wakilia wote kwa uchungu mkubwa..tukagundua na mwenzangu kuwa huenda polisi walikuwa wamefanya yao
 
Imekuwa kawaida sana kusikia vijana wanauliwa na polisi kwenye migodi ya mkoa wa Mara wilaya ya Tarime.

Kwanini hatusikii haya migodi ya Geita, Chunya, Kahama, n.k.
Na Barick Nyamongo ndio mgodi unajitahidi hata kusomesha baadhi ya vijana wa Mara togauti na Bulyanhulu na iliyokuwa Buzwagi- Kahama

Inawezekana mazingira ya mgodi yalipo yana vutia uvamizi.
Mgodi wa Mwadui wameua sana watu kipindi cha nyuma
 
Back
Top Bottom