johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,207
- 164,731
Ni jambo la kushangaza lakini siyo la kulidharau.
Uchaguzi mkuu 2010 Mbowe alimlazimisha Dr Slaa agombee ubunge huku akijua wazi Slaa ana uhakika wa 99% kushinda ubunge wa karatu na 1% kushinda urais.
Mwaka 2015 Wakati Dr Slaa ameshajiimarisha kwenye kinyang'anyiro cha urais kupitia UKAWA ghafla Mbowe akamleta Lowassa wa CCM na kuvuruga mipango yote.
2020 wakati wabunge wangependa kulitumia bunge kwa mara ya mwisho kuonyesha uimara wao na ushawishi kwa wananchi kama alivyofanya Sugu alipochangia kuhusu Corona, yeye Mbowe kawatoa bungeni na sasa wanazunguka zunguka tu mitaani kana kwamba Corona iko bungeni tu.
Hivi kama siyo vituko vya " makusudi" ni nini?
Mdogo wangu Prof Jay amka toka usingizini..,...nadhani umenielewa.
Maendeleo hayana vyama!