Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Sio kweli,katika sehemu ambazo zimepoteza ushawishi ni masaki.masaki kuna jina kubwa lakini uhalisia ni tofauti.majengo ya kizamanu na hayashtui.
Lakini mbezi bado ni ya moto,ina jina linaendana na uhalisia,kumetulia na kumekaa kishua.

Japo kwa sasa,sehemu ambayo inakoroma ni mbweni,huku kama una ugonjwa wa moyo sikushauri ufike.
Masaki sasa hivi ni sehemu ya maofisi zaidi na kula bata kwa sasa pia ni kama Posta ya miaka ile.
Wanaoishi Masaki sasa hivi ni wale wanaulipizia kisasi umasikini waliouishi enzi za makuzi yao, wengine ni Makuwadi wa wanawake wa kibongo kwa watu matajiri na watu mashuhuri wa nje ya nchi.
Pia, ndiyo wanapokaa Madon wa wale jamaa walio left magroup yao, wanaopatikana kwa wingi Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Kariakoo fire na Sinza.
Sasa hivi Mbweni, Goba na Madale ndiyo the talk
 
Habari wana jamii forum?

Kuanzia miaka ya elf mbili kushuka chini, eneo la Mbezi beach lilikuwa ni kati ya maeneo machache ya jiji la Dar es salaam ambayo yalikuwa na umaarufu mkubwa kama vile ilivyokuwa Masaki, Osterbay, Sinza nk.

Hii ilipelekea watu wengi hasa wa mikoani wakisikia neno Mbezi, basi akili au mawazo yao yanaenda moja kwa moja kwenye Mbezi beach. Japo Mbezi ya Kimara ilikuwepo, lakini watu hawakuwa wakiifahamu kivile kama inavyofahamika leo.

Sasa hali imekuwa ni tofauti, Mbezi ya Kimara imetokea kuwa na umaarufu mkubwa hadi kupelekea Mbezi beach kusahaulika. Leo hii mfano ukiwa mikoani ukazungumzia neno Mbezi bila kuweka hilo neno beach mbele basi kila mtu akili na mawazo yake yataenda kwa Mbezi ya Kimara kama vile mbezi luis, mbezi mwisho, mbezi magufuli nk.

Je ni nini chanzo cha umaarufu wa mbezi kuibuka ghafla tofauti na hapo zamani?

Nawakilisha
Ulikuwa ni ushamba na ulimbukeni
 
Sio kweli,katika sehemu ambazo zimepoteza ushawishi ni masaki.masaki kuna jina kubwa lakini uhalisia ni tofauti.majengo ya kizamanu na hayashtui.
Lakini mbezi bado ni ya moto,ina jina linaendana na uhalisia,kumetulia na kumekaa kishua.

Japo kwa sasa,sehemu ambayo inakoroma ni mbweni,huku kama una ugonjwa wa moyo sikushauri ufike.
Kwel Mbweni imejengwa sana, nasikia hadi namba 1 wa taifa ana mjengo wake wa ajabu huko Mbweni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom