GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,822
- 121,770
Tafadhali wale mliosoma mambo ya Civil Engineering si vibaya mkaja kutupa Elimu ya uwepo wa Mamba wengi JNHPP.
Kisayansi mkuu maini na figo za kiumbe hai kama maria bint marehemu zilizotafunwa tafunwa zinafanya uchevushaji na unyevushaji wa chaji za postive ili ziweze kuvuta negative za Maji na kuzalisha aina ya umeme unaitwa electrovaliency aina hii ya umeme Ina nguvu sana na inaweza kusafirishwa Hadi kenya kupitia namanga.Tafadhali wale mliosoma mambo ya Civil Engineering si vibaya mkaja kutupa Elimu ya uwepo wa Mamba wengi JNHP