Kwanini makampuni makubwa ya mafuta SHELL na BP yalijiondoa kufanya biashara Tanzania?

Ninachojua mimi BP ilipata mtetereko wa kiuchumi baada ya kuzama kwa mtambo wao wa kuchimba mafuta baharini uliojulikana kama DEEP WATER HORIZON. BP ilishindwa kesi nyingi zilizohusiana na uchafuzi wa mazingira baada ya kiasi kikubwa cha mafuta kuvujia baharini hvyo kampuni hii ilibidi kupunguza uwekezaji ili kujiokoa kibiashara.
 
Ikifika kwenye makampuni ya simu sijui tutaambiwa nini ?
Mkuu sikuelewi nilichokifanya hapa si kupinga tu ni kuandika ukweli lakini kama makampuni ya simu yakiondoka na ikionekana kuna sababu zilizosababishwa na serikali makampuni kuondoka nitakua wa kwanza kuikosoa serikali. Hizi siasa za kulaamu hata kama kitu hakijasababishwa na serikali zimepita na wakati na hatuwezi kuleta mabadiliko kwa siasa za maji taka. Ndiyo maana wewe binafsi unamwona Mbowe amepitwa na wakati anatakiwa kuachia ngazi lakini wengine wanaona anafaa. Huo ni muono wako na unaweza ukawa na point na mimi ni mmoja ninayekuunga mkono kwa hilo sababu ukweli unaonekana kashindwa chaguzi kuu 4 akiwa kama kiongozi wakati wa kuachia ngazi umefika. Lakini kama kungekuwa hakuna sababu kuu ya msingi mimi binafsi nisingekuunga mkono maana ningekuweka katika kundi la siasa za maji taka za kupakazana kukidhi matakwa yako. Japo wote tunaichukia CCM lakini pale rais akifanya kitu cha maana tukiunge mkono na pale akiboronga tukemee. Tofauti ni kwamba wanasiasa wetu wa upinzani wanatumia nguvu nyingi kuonyesha mapungufu lakini hawatuelezi njia za kuyatolea uamuzi hayo mapungufu. Bernie Sanders katika mahojiano ya kwanza baada ya uchaguzi mkuu wa marekani alisema "Mr. Trump said, unlike many Republicans, the vast majority of Republicans, he said that he will not cut Social Security, Medicare, and Medicaid. Now, I believe we should expand Social Security … but that is what he said, and pay attention to see what he now does. The question that will be resolved pretty quickly is whether or not everything that he was saying to the working families of this country was hypocrisy, was dishonest, or whether he was sincere. And we will find that out soon enough. But No. 1, no cuts, says Mr. Trump, to Social Security, Medicare, and Medicaid" ukiangalia hapo Sanders anakubaliana na nini Trump alisema na anaonyesha kuwa atam support katika hilo. Hapa kwetu tofauti rais akifanya kitu na kiungwa mkono na wengi wanasiasa wa Upinzania wanataka kuchukua point kwa kusema anatimiza Ilani yao ya uchaguzi kukitokea matatizo kidogo wanaanza kumtukana. Kwa ujinga wa kumtukana rais wakati wanajua katiba ina mpatia madaraka makubwa sana akiaanza kuwafunga wanamwita Dikteta wakati anakifanya anaruhusiwa na katiba. Tuna safari ndefu lakini nina imani kama wote humu tungejadiliana kama watanzania bila kujali itikadi tutafika.
 
Sijui kama ulilenga kunijibu mimi , ila umechanganya mambo mengi sana katika sufuria moja.

Pia katika siasa zako unatakiwa ujue kwamba hakuna mtu yeyote katika nchi hii aliye juu ya KATIBA YA NCHI , na urais wa mtu kikomo ni miaka mitano tu , nadhani umenisoma .
 
Kampuni ya SHELL japo ilikuwa ama bado mpaka sasa iko kama NEMBO HALISI ya biashara ya mafuta nchini , lakini miaka mingi iliyopita ilijiondoa kufanya biashara nchini mwetu .

Juzi juzi miaka michache iliyopita tumeshuhudia kampuni lingine kubwa la BP , kampuni pekee lililoaminika kutochakachua mafuta nalo likifunga virago vyake.

Nilikuwa nawaomba wadau waliozifahamu sababu za makampuni haya kutukimbia watuwekee hapa tuzijadili na kujifunza , na ikibidi tujirekebishe ili tusije kukimbiwa na makampuni mengine .
Umesahau AGIP ya Italy nayo ndiyo ilikua ya kwanza kuondoka.
 
BP waliuzwa kwa Puma, bado wapo Tanzania.

Shell wapo ila kwenye product zingine za energy
 
Kampuni ya SHELL japo ilikuwa ama bado mpaka sasa iko kama NEMBO HALISI ya biashara ya mafuta nchini , lakini miaka mingi iliyopita ilijiondoa kufanya biashara nchini mwetu .

Juzi juzi miaka michache iliyopita tumeshuhudia kampuni lingine kubwa la BP , kampuni pekee lililoaminika kutochakachua mafuta nalo likifunga virago vyake.

Nilikuwa nawaomba wadau waliozifahamu sababu za makampuni haya kutukimbia watuwekee hapa tuzijadili na kujifunza , na ikibidi tujirekebishe ili tusije kukimbiwa na makampuni mengine .
Mkuu baada ya BP kupigwa faini kubwa ya kuvujisha mafuta baharini kule US. Waliyumba katika utendaji na wakaamua kufunga baadhi ya biashara na kuziuza. Mojawapo ni kusini mwa jangwa la sahara ambapo kampuni ya PUMA kutoka Brazil ikanunua.
Ni mambo ya kibiashara ndio yaliyofanya BP kupunguza ukubwa wa kampuni na hili sio geni ni makampuni mengi huwa yanafanya hivi. Mfano BACLAYS BANK wanataka kuuza biashara yao ya Africa, BARRICK waliuza sehemu kubwa ya share zao za Africa ndio maana wakabadili jina na kuitwa ACACIA Mining
 
Kampuni ya SHELL japo ilikuwa ama bado mpaka sasa iko kama NEMBO HALISI ya biashara ya mafuta nchini , lakini miaka mingi iliyopita ilijiondoa kufanya biashara nchini mwetu .

Juzi juzi miaka michache iliyopita tumeshuhudia kampuni lingine kubwa la BP , kampuni pekee lililoaminika kutochakachua mafuta nalo likifunga virago vyake.

Nilikuwa nawaomba wadau waliozifahamu sababu za makampuni haya kutukimbia watuwekee hapa tuzijadili na kujifunza , na ikibidi tujirekebishe ili tusije kukimbiwa na makampuni mengine .
Hii thread ni pacha na thread hii

Thread 'Kwanini Kampuni ya Mafuta ya BP ilijiondoa Tanzania?' Kwanini Kampuni ya Mafuta ya BP ilijiondoa Tanzania?
 
Kampuni ya SHELL japo ilikuwa ama bado mpaka sasa iko kama NEMBO HALISI ya biashara ya mafuta nchini , lakini miaka mingi iliyopita ilijiondoa kufanya biashara nchini mwetu .

Juzi juzi miaka michache iliyopita tumeshuhudia kampuni lingine kubwa la BP , kampuni pekee lililoaminika kutochakachua mafuta nalo likifunga virago vyake.

Nilikuwa nawaomba wadau waliozifahamu sababu za makampuni haya kutukimbia watuwekee hapa tuzijadili na kujifunza , na ikibidi tujirekebishe ili tusije kukimbiwa na makampuni mengine .
Mungu ibariki JF
 
Back
Top Bottom