Mtoa mada amesema pointi ya msingi kuhusu 'mfumo' na 'katiba' ni mambo ya msingi sana ambayo Rais akiwa fair basi atapata mafanikio makubwa katika kipindi chake.
Mtoa mada amesema pia suala la JPM kutojidanganya kuwa anaweza 'kupita kule kule walimopita wenzake ambao walifeli'. Rais anatakiwa kufuta kabisa post ambazo ni mzigo kwa Taifa. Mfano hakuna sababu ya kuwa na DC wakati yupo DED. Ni gharama zisizo na msingi kwa Taifa changa kiuchumi kama Tanzania.
All the best Hon. JPM