Kwanini Magufuli hawezi kuwa na mafanikio

aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,577
2,222
Habari wanaJamii,

Mafanikio katika kazi na maisha mara nyingi hayaji kwa kusema tu,bali kuingia kazini na kufanya kazi kwa akili na nguvu zote.Mafanikio baina ya watu au kitu hayawezi kulinganishwa,bali tunaweza kuangalia hatua na mwelekeo wa jambo hilo kutokana na kuwa tumetofautiana katika mafikiri,maono,resources na hata wale wanaokuzunguka.

Katika uongozi wa nchi,mafanikio hayaji kwa maamuzi ya raisi mwneye bali ushawishi wake kwa kile anachoamini akishirikiana na washauri na wataalumu katika ujuzi wa jambo.

Kwanini nasema Magufuli hawezi kufanikiwa?Awali,ikumbukwe mimi napenda kazi anazofanya raisi katika kupunguza matumizi,rushwa nk.Lakini je akimaliza awamu yake yeye,Tanzania haiwezi kurudi kwenyewe pale alipokuta?

Lazima tukubaliane kuwa sasa ni wakati wa kwenda mbele.Vietnam,south korea na nchi nyingi zilizotuacha, hazjafika hapo kwa maneno na siasa.Wamefika hapo kwa kujituma na kufanya kazi lakini kubwa Zaidi ni mfumo thabiti na sheria zilizotungwa kunufaisha nchi.

Hii leo,wako wanaopinga katiba ya warioba ambayo imeelezea na wananchi wameafiki.Tumekuwa tukitunga sheria za kuwanufaisha wakubwa na wale wanaofanya kazi serikalini;huu ni wakati wa wananchi watanzania kufaidika na kuwa na fahari na nchi yao.

Namshauri raisi kwanza aangalie mzigo na utitiri wa viongozi wandamizi kwenye serikali yake.Ukuu wa wilaya,mkoa na vyeo vingi wasomaji mnavijua.

Rais Magufuli bado anaamini kuwa anaweza kuongoza nchi kwa njia zile zile watanguliz wake walipopita na tukafanikiwa,hili naliona ni usingizi wa mchana.

Namshari raisi Magufuli awe kama maraisi waliotokea na kuunda mifumo, mfano,raisi wa marekani Raisi Roosevelt,Reagan na weingine ambao ndio walioweka misingi mikuu ya taifa la marekani na kuwafikisha hapo waliopo.Magufuli,anahitaji kuwa na maono hata kama uraisi ni wakupewa.

Lazima ifike wakati tuwe na maono na ndoto ni wapi tunataka kwenda,huku tukikumbuka wapi tunatoka.Raisi usiwe mwoga kufanya maamuzi na mapinduzi ya uchumi.Kwa mwendo huu na yale unayoaamini,na kasi hii uliyoipa jina "Hapa Kazi tu" ni sawa na usingizi wa mchana wa maskini aliyeshiba ugali na maharagwe.
 
Tatizo lako kama ilivyo kwa wapinzani wengiwao ni haraka. Roma haikujengwa kwa siku moja. Amekuta hali mbaya na anatengeneza mazingira rafiki ili aweze kutimiza aliyoahidi. Tulieni kinyozi afanye kazi yake. Tutapendeza tu. Mpeni muda.

..OK.

..tusubiri kwa muda gani?

..when do you think itakuwa wakati muwafaka/sahihi kuanza kumpima Raisi wetu kama anafanikiwa au anaboronga?
 
Tatizo lako kama ilivyo kwa wapinzani wengiwao ni haraka. Roma haikujengwa kwa siku moja. Amekuta hali mbaya na anatengeneza mazingira rafiki ili aweze kutimiza aliyoahidi. Tulieni kinyozi afanye kazi yake. Tutapendeza tu. Mpeni muda.
Kwa KATIBA mbovu hii!!! Looh! Akimaliza HUKU linazuka kwingine! Sa, c ndo itakuwa KAZI yake kwa muda wa miaka 5! Amesahau kwamba mama Tz anapenda vi2 vya kuonekana cjui MWAKA 2020 itakuwaje!
 
Tatizo lako kama ilivyo kwa wapinzani wengiwao ni haraka. Roma haikujengwa kwa siku moja. Amekuta hali mbaya na anatengeneza mazingira rafiki ili aweze kutimiza aliyoahidi. Tulieni kinyozi afanye kazi yake. Tutapendeza tu. Mpeni muda.
muda upi?wakati muda ndio unazidi kuyoyoma?
 
Habari wanaJamii,

Mafanikio katika kazi na maisha mara nyingi hayaji kwa kusema tu,bali kuingia kazini na kufanya kazi kwa akili na nguvu zote.Mafanikio baina ya watu au kitu hayawezi kulinganishwa,bali tunaweza kuangalia hatua na mwelekeo wa jambo hilo kutokana na kuwa tumetofautiana katika mafikiri,maono,resources na hata wale wanaokuzunguka.
Katika uongozi wa nchi,mafanikio hayaji kwa maamuzi ya raisi mwneye bali ushawishi wake kwa kile anachoamini akishirikiana na washauri na wataalumu katika ujuzi wa jambo.

Kwanini nasema Magufuli hawezi kufanikiwa?Awali,ikumbukwe mimi napenda kazi anazofanya raisi katika kupunguza matumizi,rushwa nk.Lakini je akimaliza awamu yake yeye,Tanzania haiwezi kurudi kwenyewe pale alipokuta?
Lazima tukubaliane kuwa sasa ni wakati wa kwenda mbele.Vietnam,south korea na nchi nyingi zilizotuacha, hazjafika hapo kwa maneno na siasa.Wamefika hapo kwa kujituma na kufanya kazi lakini kubwa Zaidi ni mfumo thabiti na sheria zilizotungwa kunufaisha nchi.
Hii leo,wako wanaopinga katiba ya warioba ambayo imeelezea na wananchi wameafiki.Tumekuwa tukitunga sheria za kuwanufaisha wakubwa na wale wanaofanya kazi serikalini;huu ni wakati wa wananchi watanzania kufaidika na kuwa na fahari na nchi yao.

Namshauri raisi kwanza aangalie mzigo na utitiri wa viongozi wandamizi kwenye serikali yake.Ukuu wa wilaya,mkoa na vyeo vingi wasomaji mnavijua havina tija huku wakiwa na marupurupu kibao havisaidi nchi hata kidogo.
Magufuli bado anaamini kuwa anaweza kuongoza nchi kwa njia zile zile watanguliz wake walipopita na tukafanikiwa,hili naliona ni usingizi wa mchana.

Namshari raisi Magufuli awe kama maraisi waliotokea na kuunda mifumo, mfano,raisi wa marekani Raisi Roosevelt,Reagan na weingine ambao ndio walioweka misingi mikuu ya taifa la marekani na kuwafikisha hapo waliopo.Magufuli,anahitaji kuwa na maono hata kama uraisi ni wakupewa.
Lazima ifike wakati tuwe na maono na ndoto ni wapi tunataka kwenda,huku tukikumbuka wapi tunatoka.Raisi usiwe mwoga kufanya maamuzi na mapinduzi ya uchumi.Kwa mwendo huu na yale unayoaamini,na kasi hii uliyoipa jina "Hapa Kazi tu" ni sawa na usingizi wa mchana wa maskin aliyeshiba ugali na maharagwe.
Zetu huku chadema ni ramli,uchawi,ushirikina na dua mbaya dhidi ya serikali hadi kieleweke....."serikali inatekeleza ilani ya ukawa".....mara "raisi anakurupuka"..",sisi ni malofa na wapumbavu katika ubora"
 
Mpaka amalize kutumbua VIPELE nadhani muda utakuwa UMEISHA bila kuonyesha MAENDELEO yamaana!!
Mafisadi na mawakala wao wanahangaika sana. Magufuli ataipaisha Tanzania. Rais hahitaji kushika jembe na kwenda shamba bali anafanga maamuzi sahihi na ndiyo anahofanya Magufuli
 
Zetu huku chadema ni ramli,uchawi,ushirikina na dua mbaya dhidi ya serikali hadi kieleweke....."serikali inatekeleza ilani ya ukawa".....mara "raisi anakurupuka"..",sisi ni malofa na wapumbavu katika ubora"
usipaniki mkuu,alipingwa Mungu na Lucifer,sio nongwa sie kumpinga JPJM kwa nia ya yeye kuona alipo kesea ili alekebishe
 
Mafisadi na mawakala wao wanahangaika sana. Magufuli ataipaisha Tanzania. Rais hahitaji kushika jembe na kwenda shamba bali anafanga maamuzi sahihi na ndiyo anahofanya Magufuli
Mafisadi?kama yule aliyetoa ujumbe kwa s.m.s kuwa flow meters zianze kuflow,kabla ya msafara wa waziri mkuu kwenda?
 
usipaniki mkuu,alipingwa Mungu na Lucifer,sio nongwa sie kumpinga JPJM kwa nia ya yeye kuona alipo kesea ili alekebishe
Lucifer ana msimano (consistency)..ninyi hamueleweki.....CCM wote hawafai ni akili ndogo mara mnaazima akili ndogo kuwasaidia kuingia ikulu.....
 
Namuunga Magufuli kwa vitu vingi ila ana kauli kadhaa ambazo zinaweza leta matatizo kwa wananchi ambao ni innocent.

Mfano yeye kuwapa ruhusa viongozi wengine ati watupe watu jela anytime kama kuna mistake wataifix baadaye, this is plain stupid and very dangerous. Watu innocent wengi tu wataumia kwa hili, baadaye uchunguzi unafanyika wanarudishwa huku wameishasota ndani muda mrefu shughuli zimesimama, hakuna compensation hakuna nini.
Hii ina tofauti gani na dictatorship?

Rais ameonyesha kua ana moyo wa kuibadilsha nchi lakini inabidi akubali kua sheria zipo ili zifatwe na ndio hizo sheria zilizotupa amani hadi leo hii, akianza kuwapa watu nguvu wabend hizi sheria ndipo tunapoanza kufa kifo cha polepole bila kujua, ni kama cancer.

Inabidi asimame aangalie ajue kua wapo wataalamu wengi kwenye nchi hii, asifanye neno lake kua final, anaongoza watu 50M inabidi atumie vichwa vingi kufikiria na sio kimoja tu na watu wanne watano walio karibu yake. Any wrong decision inaweza ikaturudishwa mwanzo au hata kwenye a much worse situation.

Mi nafikiria viongozi wengi walio chini yake wanafata kasi yake kwa kijinga, wapo ignorants wengi ambao wanafanya kazi tu ovyo bila hata kufikiria mara mbili au kufanya research, yaani mtu kasikia rumors fasta anaita waandishi wa habari waende kufukuza watu kazi, na watanzania dunia nzima wanashangilia, tuna madaktari wachache sana tanzania, tukipunguza hata 100 hapo ni wagonjwa zaidi ya 10,000 hawana pa kwenda.
 
Fuata sheria za nchi...huko amerika kuna Guantanamo bay...jela kwa watu wallio kinyume na mamlaka...hiyo ndio tabia ya dola popote ulimwenguni,Inatakiwa wananchi tutii maagizo yote ya serikali kwa mujibu wa katiba na hayo mamlaka ya ma dc,rc ni kwa mujibu wa katiba.
 
Namuunga Magufuli kwa vitu vingi ila ana kauli kadhaa ambazo zinaweza leta matatizo kwa wananchi ambao ni innocent.

Mfano yeye kuwapa ruhusa viongozi wengine ati watupe watu jela anytime kama kuna mistake wataifix baadaye, this is plain stupid and very dangerous. Watu innocent wengi tu wataumia kwa hili, baadaye uchunguzi unafanyika wanarudishwa huku wameishasota ndani muda mrefu shughuli zimesimama, hakuna compensation hakuna nini.
Hii ina tofauti gani na dictatorship?

Rais ameonyesha kua ana moyo wa kuibadilsha nchi lakini inabidi akubali kua sheria zipo ili zifatwe na ndio hizo sheria zilizotupa amani hadi leo hii, akianza kuwapa watu nguvu wabend hizi sheria ndipo tunapoanza kufa kifo cha polepole bila kujua, ni kama cancer.

Inabidi asimame aangalie ajue kua wapo wataalamu wengi kwenye nchi hii, asifanye neno lake kua final, anaongoza watu 50M inabidi atumie vichwa vingi kufikiria na sio kimoja tu na watu wanne watano walio karibu yake. Any wrong decision inaweza ikaturudishwa mwanzo au hata kwenye a much worse situation.

Mi nafikiria viongozi wengi walio chini yake wanafata kasi yake kwa kijinga, wapo ignorants wengi ambao wanafanya kazi tu ovyo bila hata kufikiria mara mbili au kufanya research, yaani mtu kasikia rumors fasta anaita waandishi wa habari waende kufukuza watu kazi, na watanzania dunia nzima wanashangilia, tuna madaktari wachache sana tanzania, tukipunguza hata 100 hapo ni wagonjwa zaidi ya 10,000 hawana pa kwenda.
na ndicho tunacho kipigia kelele!magufuli anajitega mwenyewe ndani ya kauli zake za kulopoka pasipo kuwaza athali zake!
 
Lucifer ana msimano (consistency)..ninyi hamueleweki.....CCM wote hawafai ni akili ndogo mara mnaazima akili ndogo kuwasaidia kuingia ikulu.....
mkuu,kuna tofauti ya Lucifer na Sisi Wapinzani!Lucifer aliumbwa kwa MOTO,sie tuliumbwa kwa DAMU,NYAMA na PUMZI ya Mungu!Lucifer ni Malaika,sie ni Binadamu,Lucifer Hakuzaliwa wa Hatokufa,ila sie Tunazaliwa na Tutakufa!Lucifer ana haki ya kutokubadlsha mawazo,maana yeye sio mwanadamu,ila sie ni binadamu tulio umbwa kwa Udongo,acha tubadlshe mawazo!
 
Back
Top Bottom