Kwanini Lowassa haongelei General Tyre?

Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,208
3,289
Lowasa anatokea mkoa wa Arusha wilaya ya Monduli. General tire ni kampuni la tairi ambalo lilikuwa mti wa mgongo katika uchumi wa Arusha, hata nchi kwa Ujumla. Pamoja kwamba kiwanda hiki Muhimu cha Tairi kimekufa katika hali ya sintofahamu, sijawahi kumsikia Lowasa akilalamika, au kuhudhunishwa na ufilisikaji wa kiwanda hiki. Nimewahi kumsikia Lema akilalamika na kutaka kiwanda hiki kifufuliwe, lakini jambo la ajabu Lowasa hakuwahi kusikika akiongelea kuhusu kiwanda hiki, pamoja kwamba kiwanda hiki kilikuwa muhimu sana kwa uchumi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.
 
Kwa sababu CCM wamelewa madaraka anajifanya hajui lolote kuhusu kiwanda hiki
CCM iko chakali

10360456_937521536294203_5952723670675937488_n.jpg
 
Ni vigumu sana kumsikia Lowasa anakemea upigaji dili. Kwanza Lowasa ana hisa kiwanda cha Matairi cha Yana ambacho kiliua General Tire, Lowasa ana Hisa Vodacom, Lowasa ana Hisa Leopard safaris. Sasa huyu unadhani atakemea wizi, never never, never
 
Mbunge anayehusika wa Arusha mjini keshazungumzia General Tyre. Lowassa safari hii atawafanya mfe mapema.
 
Lowasa anatokea mkoa wa Arusha wilaya ya Monduli. General tire ni kampuni la tairi ambalo lilikuwa mti wa mgongo katika uchumi wa Arusha, hata nchi kwa Ujumla. Pamoja kwamba kiwanda hiki Muhimu cha Tairi kimekufa katika hali ya sintofahamu, sijawahi kumsikia Lowasa akilalamika, au kuhudhunishwa na ufilisikaji wa kiwanda hiki. Nimewahi kumsikia Lema akilalamika na kutaka kiwanda hiki kifufuliwe, lakini jambo la ajabu Lowasa hakuwahi kusikika akiongelea kuhusu kiwanda hiki, pamoja kwamba kiwanda hiki kilikuwa muhimu sana kwa uchumi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.

Sasa hivi aongee kama nani!?? Subiri aingie ikulu aongee
 
KWANINI AWE LOWASA TU NA ISIWE SERIKALI YOTE YA CCM KWENYE HILO SUALA....? tubainishie
Lowasa anatokea mkoa wa Arusha wilaya ya Monduli. General tire ni kampuni la tairi ambalo lilikuwa mti wa mgongo katika uchumi wa Arusha, hata nchi kwa Ujumla. Pamoja kwamba kiwanda hiki Muhimu cha Tairi kimekufa katika hali ya sintofahamu, sijawahi kumsikia Lowasa akilalamika, au kuhudhunishwa na ufilisikaji wa kiwanda hiki. Nimewahi kumsikia Lema akilalamika na kutaka kiwanda hiki kifufuliwe, lakini jambo la ajabu Lowasa hakuwahi kusikika akiongelea kuhusu kiwanda hiki, pamoja kwamba kiwanda hiki kilikuwa muhimu sana kwa uchumi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.
 
General tire nidyo kitu gani ndugu mleta mada?au unamaanisha General Tyre?Kwanini Lowasa azungumzi?ulimuuliza hakukujibu?
 
Ni vigumu sana kumsikia Lowasa anakemea upigaji dili. Kwanza Lowasa ana hisa kiwanda cha Matairi cha Yana ambacho kiliua General Tire, Lowasa ana Hisa Vodacom, Lowasa ana Hisa Leopard safaris. Sasa huyu unadhani atakemea wizi, never never, never

utakufa na presha!!!!!
bas unaona umeweka jiwe kuuubwa kumzuia!!!!
 
Viwanda kibao arusha vimekufa fibreboard, philips, sunflag, bora, emco, rvr, tpri azimio la arusha list inaendelea. Why General tyre only izungumziwe.
 
unachekesha mkuu. yaani lowasa aifisadi general tire halafu aiongelee? unataka aongelee jinsi alivyoifisadi? umeshawahi kuona mwizi akiongelea hadharini alichoiba? maajabu haya.

Lowasa anatokea mkoa wa Arusha wilaya ya Monduli. General tire ni kampuni la tairi ambalo lilikuwa mti wa mgongo katika uchumi wa Arusha, hata nchi kwa Ujumla. Pamoja kwamba kiwanda hiki Muhimu cha Tairi kimekufa katika hali ya sintofahamu, sijawahi kumsikia Lowasa akilalamika, au kuhudhunishwa na ufilisikaji wa kiwanda hiki. Nimewahi kumsikia Lema akilalamika na kutaka kiwanda hiki kifufuliwe, lakini jambo la ajabu Lowasa hakuwahi kusikika akiongelea kuhusu kiwanda hiki, pamoja kwamba kiwanda hiki kilikuwa muhimu sana kwa uchumi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.
 
Lowasa anatokea mkoa wa Arusha wilaya ya Monduli. General tire ni kampuni la tairi ambalo lilikuwa mti wa mgongo katika uchumi wa Arusha, hata nchi kwa Ujumla. Pamoja kwamba kiwanda hiki Muhimu cha Tairi kimekufa katika hali ya sintofahamu, sijawahi kumsikia Lowasa akilalamika, au kuhudhunishwa na ufilisikaji wa kiwanda hiki. Nimewahi kumsikia Lema akilalamika na kutaka kiwanda hiki kifufuliwe, lakini jambo la ajabu Lowasa hakuwahi kusikika akiongelea kuhusu kiwanda hiki, pamoja kwamba kiwanda hiki kilikuwa muhimu sana kwa uchumi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.

Siuseme wewe?
 
Ni vigumu sana kumsikia Lowasa anakemea upigaji dili. Kwanza Lowasa ana hisa kiwanda cha Matairi cha Yana ambacho kiliua General Tire, Lowasa ana Hisa Vodacom, Lowasa ana Hisa Leopard safaris. Sasa huyu unadhani atakemea wizi, never never, never
kweli kabisa.

nilishawahi kuweka uzi humu niaahidi zawadi ya lakin 1 kwa atakaye nipa crip ya LOWASA akikemea ufisadi na wizi wa mali ya UMMA lakini hamna aliyejitokeza hata vile vibaraka wake wenye njaa na pesa zako wote walikunja mikia yao nyuma. na ule uziulifutwa
 
Kwanini Lowassa aongelee kila kitu na sio mbunge wenu? Mbona mnamtwisha mizigo huyu mzee jamani? Hiv ataweza kweli kuizungumzia Tanzania nzima wakati yeye ni mbunge tu?
 
Back
Top Bottom