Kwanini Lowassa amepotea baada ya kipigo uchaguzi mdogo? Ni aibu au amekata tamaa?

Hata kwenye nyumba za ibada Shetani anatajwa sana ijapokuwa si kwa mazuri.

Usiinyofoe tu tuone katoto kako kanafananaje ? Mtakoma posho zimekatwa mnaishi kwa matumaini ya kuteuliwa na mkulu kashtuka hateui kwa vigezo mivyozoea mtakomaje!
 
Lizaboni hivi lowassa kakukosea nini ungekuwa demu ungeolewa na lowassa wallahi
 
Au Lowassa ndie aliesababisha shule za sekondari Dar kufanya vibaya?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Mlengwa hapo juu katika kipindi cha kuelekea uchaguzi Mdogo na wakati wa kampeni, alipita mikoa kadhaa kwa lengo la kujenga chama chake, CHADEMA kwa madai kuwa hakina mizizi kwa wananchi. Nakumbuka alivyoweka kambi kanda ya Ziwa huku akitoa ahadi hewa mithili ya zile ahadi za mvua ya Thailand. Kwamba, ataongea na wafadhili ili washushe chakula kuwasaidia wananchi wenye njaa. Hadi sasa, mzee Lowasa hajaleta chakula cha msaada alichoahidi.

Baada ya kipigo kitakatifu ambapo CHADEMA waliambulia Kata moja tu huku wakipokonywa nyingine na CCM kati ya kata 20 zilizogombaniwa, hakika mzee sijui kajificha wapi. Haonekani kwenye media wala social media. Yaani kwa ujumla kapotea mithili ya kakakuona.

Najiuliza maswali kibao na sipati jibu. Je kupotea huku ni aibu ya kipigo hicho? Au amekata tamaa na vyama vya upinzani kwa vile anaonekana kutwanga maji kwenye kinu? Au kawasusia CHADEMA? Au kakasirika? Au kaishiwa pumzi? Au? Au? Au? Mliopo jirani na huyo mzee naomba mjitokeze na kutueleza nini kinaendelea.
KIPIGO GANI WAKATI TUME YA UCHAGUZI NI MACCM.hopeless.
 
hahahahaha inawezekana CCM waliiba kura but kuhusu lowassa ni un admited truth kuwa CDM walikosea vibaya mno kumuweka awe presidential candidate wao japo huwa hawakubali mpaka kesho......
 
Huwezi kuwa mwizi harafu utegemee kwenda mbinguni.Lowasa ni muongo mkubwa na ni msanii mkubwa.chini ya Lowasa Chadema hatuwezi kushinda kamwe.huyu anakitia gundu chama.anatunga mbinu za kuja kutuongopea ukute
 
Back
Top Bottom