Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.
Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo
Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.
Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.