Wakuu hii imekaaje? Naona kama kuna harufu ya kutawaliwa hapa au mimi naiona vibaya? Kwa hesabu za haraka haraka " A equals to B but B is not necessarily equals to A". Wabunge mpooooooo!!!!!!!! Kuna haja ya kufufua mjadala wa Tanganyika yetu.
Katika Baraza "jipya" la Mawaziri (29) aliowateua JK kuna Mawaziri wanne kutoka Zanzibar wakati huhuo kuna Mikoa mitatu hakuna Waziri hata mmoja...
Kuna nini Zanzibar hadi kuwa na uwakilishi mkbwa kiasi hik katika Baraza la Mawaziri?
Ukabila? hee me!ha ukabila umeanza jf
tukitaka kuweka kila kabila mnapiga kelele
Muhimu ni kuwa ni WATANZANIA
Kwani kigezo kilikuwa mtu atokako........??Katika Baraza "jipya" la Mawaziri (29) aliowateua JK kuna Mawaziri wanne kutoka Zanzibar wakati huhuo kuna Mikoa mitatu hakuna Waziri hata mmoja...
Kuna nini Zanzibar hadi kuwa na uwakilishi mkbwa kiasi hik katika Baraza la Mawaziri?
Hivi wazanzibari ni watanzania kumbe?Muhimu ni kuwa ni WATANZANIA
salute.well said, japo likija swala la viti maalum cdm hili watu huwa hawalioni ili tu kuipa nguvu hoja yao ya cdm na ukabila
Haijalishi waziri katoka mkoa gani,muhimu ni uchapa kazi:A S crown-1:
salutekubwa ni kupata katiba mpya tu na haya yatakwisha!
UISLAMU = JK=ZANZIBAR:bump: