Unatuongopea ndege anayetua kwenye waya wa umeme usio na magamba huwa apugwi shoti kwa sababu nyao zake zinakuwa kama zina magamba sasa ukita kujua, uyo uyo ndege ajichanganye bawa liguse waya ndio utajua kwanini twafwaaNa sio kunguru tu, hata ndege yeyote anayetua juu ya nyaya za umeme bila kupata madhara yayoye hawezi kuoza!