Kwanini Kikwete kamteua Lawrence Mafuru kuwa Msajili wa Hazina?

Tatizo watu mlio wengi hamjui Mafuru..kwanza Mafuru hajatoka kwa kashfa Nbc ..kwani uchunguzi huru ulifanywa na tena na wachunguzi kutoka ABSa na Barclays ambao ndiyo wamiliki wakubwa wa Nbc na wakaridhika na kumrudisha kazi na kwa Sababu aliona kuna wapuuzi wamepanga kumharibia kazi akasepa...kuhusu BRN ipo vizuri kuliko unavyofikiri mtafute ceo wake akupe habari kamili Fbme Mafuru hakuwahi kufanya kazi pale hata siku moja alipelekwa pale sio na Kikwete Bali BOT nenda pale uone bank ilivyoo kaa vizuri sass na hajakaa azidi ya siku 160 .
Muuache Mafuru apige mzigo
Yupo fit

Bado sijaamini!!
 
Huma ndani ni balaa Boss wako akiku-evaluate akakupa wastani wa 'A' muombe akuweke Jf aone kama hajabadilisha muelekeo' maana ataona yale ya kuibiwa ambayo hata ww mwenyewe ulikua unahisi unajua mwenyewe.
Ila wadau nataka nimpe Nehemia Mchechu haka ka Wizara ka-Aridhi nyumba na Makazi vipi utendaji wake'?
 
Fbme nako ni benki miongoni zilizotuhumiwa zilizotakatisha pesa .na kipindi zikilalamikiwa sana alikuwa yuko pale.lakini bot ilikaa kimya Kumlinda

vitu vingine kama huna uhakika navyo ni bora ukae kimya kuliko kutujazia server. fbme alipelekwa na bot kusimamia baada ya ile kashfa
 
Mafuru,Mchechu ni watendaji wazuri kwa hii generation yetu tatizo kubwa ni Jakaya Mrisho Kikwete,Huyo mtu akikuteua lazima ujiulize sana sababu teuzi zake nyingi ni kwa ajili ya personal gains na kwa mtindo huu amewaharibia watu wengi na kuwachafuria records zao nzuri za utendaji.Ukiteuliwa na Kikwete ni kama umeingia kwenye shimo la tewa la ukitoka salama mshukuru Mungu.
 
Nakubaliana na ww Lakini bado napata Tabu na hili neno Kuteua linaonekana ndilo lenye Shida hapa !! Rais nafikiri ana pelekewa jina baada ya mchakato mzima wa interview kumalizika .. Hapa siongelei vyeo vya kisiasa Kama wakuu wa mikoa na lengo kubwa ikiwa ni kuwaapishA Hawa wAtendaji!!
 
Ni kweli uchunguzi ulifanyika na jamaa akarudi kazini. ...hakukaa sana akaacha kazi. .....muwe mnafuatilia issue kwa kusoma au kuuliza kabla hamjaanza kumpa mtu tuhuma za uongo

Mkuu nafahamu sana kwamba uchunguzi ulifanyika na jamaa akarudi kazini ila hakufanya kazi hata saa moja kwa kuwa hakuruhusiwa kufanya kazi!! Hii ya kurudi inasemekana ilikuwa tu kutaka kumsafisha jamaa lakini alikuwa na shida pale.

Kwa hiyo alirudishwa ili ajisafishe na kulazimishwa kujiuzulu. Ndiyo tuliyonayo huku saiti.

Trend yake tu mashaka matupu, achana na wafuasi!!!
Labda yeye aseme ana nini special wasicho nacho wengine mpaka awe kila tochi ikimulika yumo???
 
Nakubaliana na ww Lakini bado napata Tabu na hili neno Kuteua linaonekana ndilo lenye Shida hapa !! Rais nafikiri ana pelekewa jina baada ya mchakato mzima wa interview kumalizika .. Hapa siongelei vyeo vya kisiasa Kama wakuu wa mikoa na lengo kubwa ikiwa ni kuwaapishA Hawa wAtendaji!!

Interview bila kazi kutangazwa mkuu?
 
Huma ndani ni balaa Boss wako akiku-evaluate akakupa wastani wa 'A' muombe akuweke Jf aone kama hajabadilisha muelekeo' maana ataona yale ya kuibiwa ambayo hata ww mwenyewe ulikua unahisi unajua mwenyewe.
Ila wadau nataka nimpe Nehemia Mchechu haka ka Wizara ka-Aridhi nyumba na Makazi vipi utendaji wake'?

bora tuunganishe wizara ya ujenzi ardhi na uchukuzi iwe wizara moja chini ya magufuli. nhc imekopa tril moja china kwa udhamini wa serikali akitoka akina chenge watapiga hiyo hela halafu watz wote tutailipa.
 
Back
Top Bottom