Kwanini Kikwete anawakwepa vijana na kukumbatia wazee?

Rais atalihutubia Taifa kupitia kikao na wazee,OPEN YOUR MIND KAKA.
Kwanini kikao cha wazee wakati taifa lina rika tofauti, hao wazee ndo wanaogoma? ndo wazalishaji mali pekee? ndo wana experience yanayotokea makazini? hao wazee wana u special gani?
 
anaogopa vijana mtampopoa mawe.. maana mwenyewe anajua anaongea pumba.. wazee wao hawajali wameshakamatishwa buku zao tano tano.. Vijana mtakubali nyie kucikilizishwa pumba kwa buku tano..?
 
Anazungumza na wazee kufikisha ujumbe kwa wengine wote waliobakia. Huu ni utamaduni uliokuwepo toka enzi za kabla ya Nyerere, Nyerere akauendeleza, Mwinyi akauendeleza, Mkapa akauendeleza na sasa Kikwete anauendeleza.

Utamaduni hoyvo kabisa tena wa kibaguzi! Si tu unawabugau vijani, pia na wazee ambao si wanachama wa ccm. Vijana wapo kwenye mtandao hawana time na mchovu tbc.
 
penye wazee hapakosi wavivu...
Penye wazee hapakosi ufitini...
Penye wazee hapakosi majungu...
Penye wazee hapakosi masengenyo...
Penye wazee hapakosi UNAFIKI...

Ongezea...
...
...
...
...
...
 
Watanzania kweli tuna shida....

KUra wanaomba kwa vijana, kikisanuka wanakwenda kupotelezea kwa wazee wa CCM Dar, sijui wa mikoa mingine hawana thamani???? kwanini asiende kwa wazee wa Arusha, Mwanza, nk

BTW, mzee wangu yupo Dar miaka yote hajawahi hata kuitwa kimakosa kwenye hiyo mihadhara ya ubwabwa na nyama za doglasi
 
ni ufinyu wa fikra kwenda kutafuta sympath kwenye kundi ambalo halina hata uwezo wa kuhoji au kujadili kadhia zaidi ya kuishia kupiga makofi na kumpa mhutubiaji sifa na yeye kudhani anaungwa mkono
Shadows law...ukikimbia kinakufuata!
Mbona JKN alikuwa anaenda pale
Nkurumah hall na anamwaga sera?
 
Kuna Mzee Mjinga anaweka propaganda kwenye ITV! It's pathetic anaita Drs wahaini na napendekeza drs watiifu wawe Profs. Hataki Mponda na Nkya atoke
 
hivi hakuna majambazi tunayoweza kuyakodi yaka waue Nkya na Mponda kuokoa maisha ya watu milioni 45
 
Open your minds brothers kuitwa Mzee si lazima uwe na mvi au unatembelea mkongojo,kuitwa Mzee ni nafasi ya kuamua na kutoa maamuzi ya busara,1e hujaona vijana wanaitwa wazee kwasababu ya busara zao na maamuzi yao,nenda pale mlangoni kama utaona ni watu na mvi,ngozi zilizokunjamana ndio watakaoingia pale kuongea na JK,hata wewe utaitwa mzee kama una busara na mamuuzi ya maana ijapokuwa ni kijana,wake up!!!!
 
Utamaduni wa kutumia wazee kufikisha ujumbe kwa wananchi wote ni dalili za kushindwa kuongoza nchi.
 
Kulikoni JK akitaka kuaddres kitu sensitive kwa nchi anaaddress kupitia wazee wa Dar es salaam? hajifunzi kutoka kwa wenzie ambao huwa wanaitisha press conference au wanaongea na wanataaluma? Maana ya kuwahutubia wazee huwa ni nini? Huwa anawapa nafasi ya kumuuliza maswali? Kwa nini asiwe anahutubia taifa kupitia TV tu ieleweke moja?
 
Kupitia ungeandika via na si vs, hiyo inamaanisha opposed to.
 
Wazee wa Dar wanatumika pale serikali inapotafuta legitimacy, kwa sababu wanajulikana hawawezi kubisha kitu.

Ushawahi kusikia hawa "wazee wa Dar" wamembishia kitu rais?

Na kwa nini kila kitu wazee wa Dar? ina maana hamna miji mingine Tanzania?
 
Wazee wa Dar wanatumika pale serikali inapotafuta legitimacy, kwa sababu wanajulikana hawawezi kubisha kitu.

Ushawahi kusikia hawa "wazee wa Dar" wamembishia kitu rais?

Na kwa nini kila kitu wazee wa Dar? ina maana hamna miji mingine Tanzania?

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Wazee wa Dar wanatumika pale serikali inapotafuta legitimacy, kwa sababu wanajulikana hawawezi kubisha kitu.

Ushawahi kusikia hawa "wazee wa Dar" wamembishia kitu rais?

Na kwa nini kila kitu wazee wa Dar? ina maana hamna miji mingine Tanzania?

Angekwenda Mbeya aone!!
 
Back
Top Bottom