Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,514
Mtoto ndio anasimamisha gari au gari ndio inasimama ikimuona mtoto? Alafu watoto wengi hupelekwa na wakubwa zaoRang ya njano ni rangi inayoonekana kwa urahis kuliko rang nyingne yoyote, hvyo mtoto huweza kuitambua kwa urahis hata likiwa mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app