Kwanini Ikulu haijawaalika watu hawa muhimu kwenye ripoti za madini?

Huwa najiuliza sana hivi inakuwaje Kikwete huwa hahusiswi na IPTL au Richmond?
IPTL ya Mkapa lakini huyu Kikwete alikua waziri miaka mingi sana katika madini na nishati. nasubiri ushauri wa Ridhiwani bungeni kama alivyoisema serikali ya awamu ya tano, atasema nini Ridhiwani katika hii report.
 
Cdm ndio kilikuwa chama mbadala na hoja zilizoeleweka kitambo, kwasasa wamepoteza nuru kabisa tokea walivyowakaribisha watu waliowatuhumu uko nyuma kama ni mafisadi papa.Masikini cdm mmerogwa na nani?
Kuna mahakama ya kushughulikia mafisadi imeundwa . . , mbona hajapelekwa huko
 
Nadhani Ikulu inakoseaga sana kutowaalika maraisi, mawaziri wakuu wastaafu, wanasheria wakuu wastaafu na hata mawaziri walioshika wizara husika wastaafu kunapokuwa na tukio la kitaifa na ambalo ni historic kama la makinikia.

Wafuatao wangepaswa sana kualikwa na kuhudhuria matukio haya:-


Manyika.
Una maanisha yule kipa wa Yanga na timu ya Taifa..?
 
Fisadi Lowassa hana nafasi ya kuingia Ikulu
Viongozi wa CCM hawana uzalendo. Kila wakati walisafiri nje ya nchi lakini hawakuwahi kuomba kwenda kuona Mchanga wetu ulipokuwa unafanyiwa Smelting! Nani kawaloga? Viongozi wa dini tuwaombee mapepo yawatoke.
 
Huwa najiuliza sana hivi inakuwaje Kikwete huwa hahusiswi na IPTL au Richmond?
Smart President yule. Alimwachia kila kiongozi awajibike kwenye eneo lake, na kama pakivurundwa yeye huyo Kiongozi ndiye aayepaswa kuwajibika.
Ujiulizi mbona hakutajwa kwenye Kesi ya Samaki ambayo mpaka leo bado inasemekana inatula.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom