Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,386
Wadau nimekuwa nasoma makala nyingi sana zuhusizo Siasa za Tanganyika kabla ya kupata Uhuru.
Miongoni mwa hizo Makala ni Kuzaliwa kwa TANU.
Ukisoma vitabu vingi vinavyozungumzia Uhuru wa Tanganyika vitabu vingi Vinamtaja Mwalimu Nyerere ndiye aliyeanzisha Chama cha TANU na havisemi alishirikiana na kina Nani.
Baada ya kusoma Makala moja kuna Watu kama HAMZA MWAPACHU na ABDUL SYKES wanatajwa kuwa walikuwa wana mchango mkubwa sana na Vyeo vikubwa kwenye Chama cha Siasa cha TAA ambacho baadaye Chini ya hao kina HAMZA MWAPACHU na ABDUL SYKES walimkaribisha MWALIMU NYERERE na ktk Kikao hicho Walianzisha TANU badala ya TAA na kumpa Mwalimu Nyerere Uongozi wa TANU.
Swali langu ni kwamba1
1. Kwanini HAMZA Mwapachu na Abdul Sykes na Wengine hawataji ktk HISTORIA ya kuanzisha ya TANU?
2. Ni nani Waliandika HISTORIA ya TANU?
NAOMBA kuelimishwa.
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app