Kwanini hatuna injini za magari zinazoendeshwa kwa maji?

Taya
Maji yana molekyuli mbili, Hydrogen na Oxygen. Tunaweza kutenganisha molecules hizi na kutumia hydrogen ambayo ni combustible ili kuendesha injini za aina zote. Tunakwama wapi? Kuna mahali nilisoma kwamba mvumbuzi fulani wa injini isiyotumia maji alipotelea kusikojulikana!
Tayari kuna gari imetengezwa na itatumia maji,sasa tafteni zaidi taarifa
 
Ili kua na gali linaotumia maji kuna njia kadhaa
1. Moja kuyatenganisha atom zinazo unda maji ambazo ni oxygen na hydrogen then after , hydrogen iliopatikana inaweza kutumika ka fuel ku Power engine.Madhara ya hii njia ni kwamba end product zake sio nzur kwa afya ya binadamu na pili kutenganisha maji kwa electrical electrolysis inatumia umeme mwingi ukilinganisha na hydrogen itakayotengenezwa so bola up umeme wa kutenganisha molecule ya maji utumike kny kuendesha mota moja kwa moja (gali la umeme)

2.pili hydrogen iliotengenezwa kny electrolysis inaweza ingia kny fuel cell ku produce umeme ambao unaweza kuendesha gali.njia hii ni gharama kwasababu ya being ya fuel cell inayokadiliwa kua $20000 na kubadilishwa kila baada ya miaka mitatu.so bora tuendelee na magari ya mafuta na hybrids.
 
Maji yana molekyuli mbili, Hydrogen na Oxygen. Tunaweza kutenganisha molecules hizi na kutumia hydrogen ambayo ni combustible ili kuendesha injini za aina zote. Tunakwama wapi? Kuna mahali nilisoma kwamba mvumbuzi fulani wa injini isiyotumia maji alipotelea kusikojulikana!
Jazia mkuu, ulisoma wapi? Lini? Wapi? Nani kampoteza? Etc
 
Back
Top Bottom