Kwanini DW wanakuwa wachochezi sana dhidi ya Mheshimiwa Rais?

Wewe na mwandishi kuna tofauti gani, mwandishi kachora katuni wewe unaisambaza nani mchochezi zaidi?
Mimi nilikuwa sjaiona lkn nimeiona kupitia hili aandiko lako maana yake umenichochea kuisoma hiyo hbr.
Humu ndani hakueleweki sawasawa. Asingeileta kama hivyo bado angeulizwa na kutakiwa iletwe humu ili ijadiliwe
 
Acha unafiki kwani ni uongo
Wajerumani hawapangiwi cha kufanya , mpelekeni bashizzle akafanye kama mawingu tv
Deutch welle wamesema ukweli kutumi kibonzo
Ila kwa pande wa pili nakupa pongezi mtoa mada kwa kuwasaidia DW kusambaza kibonzo ata ambao hawakukiona sasa wamekiona,
hakika wewe ni mbunifu huseyejijua.
Hata Mimi nimeonea hapa.
 
Back
Top Bottom