Kwanini Dr. Tulia anashindwa kuendelea na bunge bila UKAWA?

Hilo ndo nnalotaka kujua, huwezi kuwapangia Ukawa cha kufanya Na njia ipi.
Kama hata wakiingia, then wakatoka...Kuna athari Bunge linapata? Dk. Tulia anapata Matatizo gani? Kwa nini asiwaache watoke then aendelee Na Bunge Kama kawaida? Kwa vile Akidi inatosha hata kufanya maamuzi! Kwa nini Dr. Tulia anapata shida?
Baada ya kuchukuwa posho hakutakuwa na nongwa. Tena sasa hawa wakosa adabu wanaweza hata wasiamke asubuhi kwenda bungeni. Huyu mwanamke wa shoka kaletwa na mungu kumludisha jini kwenye chupa na kumtupa baharini alikokuwa.
 
Mbona UKAWA wakifanya mambo yao kuna watu wanapata shida sana? Kama UKAWA wamesusa kila bunge likiendeshwa na Tulia, kwanini Tulia anapata shida? Kwanini asiendelee na vikao vya bunge kama kawaida? Akawaacha UKAWA wafanye yao na yeye afanye yake?

Majuzi wabunge wa CCM wakiomba miongozo kuhusu ama bunge kuwaadhibu Wabunge wanaosusa iwe kusimamishwa au kutolipwa posho, majibu ya Dr. Tulia yalisema hakuna kanuni ya bunge ilovunjwa, japo jana akaja na nyingine kuwa ameamua kuzuia posho kwa kucheki maamuzi ya Ma Spika walopita, (Inaonekana alikua anahangaika kutafuta hii) Ni nini hasa kinampa wakati mgumu mpaka kutangaza kuondoa posho za 300,000 za kikao?

Kwa posho ambazo wabunge wengi wa UKAWA wanataka zisiwepo,mbunge ambaye anapata zaidi ya Mil. 11 kwa mwezi, pesa ya mfuko wa jimbo, mikopo Bank na miradi mbalimbali, Posho ya Laki 3 kwa siku inaweza kubadilisha uamuzi wa UKAWA? Kwanini Tulia anapata shida na UKAWA kumsusia Bunge? Kwanini asiendelee na Bunge bila uwepo wa UKAWA? Kama akidi Bungeni inatosha, mijadala inaweza kuendelea, kwanini Dr. Tulia anahangaika na UKAWA kwanini asifunge vioo akaendelea kuendesha bunge?
Wabunge wote pale Dodoma kiongozi wao ni Mh Spika na Naibu spika. Kwa lolote litakalo wapata anahusika kujua wako wapi wakifanya majukumu gani kwa ajili ya umma. Kama mbunge anakosa adabu na kushindwa kuaga kwa spika anahesabika kama mtoro. Kama kiongozi wa taasisi lazima atoe adhabu. Mleta mada hujui mantiki ya ukisemacho.
Wabunge wanaopata peza za jimbo kwa chadema hawafiki arobaini kati ya wabunge karibu tisini wa chadema. Ni wazi kuwa wenye kuhitaji hiyo posho ni wengi na kuendelea kuikosa ni kuwakatili na wengi ni wanawake. Hapo wenye majimbo wanawahadaa wenzao. Hata hivyo pesa ya jimbo si ya kumfanya mbunge atanue nayo kwani inauangalizi. Faida yake ni yeye anaipeleka mahali ambapo panaweza kumpa kula baada ya kuondoa changamoto za wananchi. Yote kwa yote posho hiyo ni muhimu kwao kwani baadhi wamekopa fedha benki na posho hutumika kuziba pengo hilo sasa kitendo cha kuikosa ni kujiathiri.
Kwa vyovyote itakavyokuwa hawa wakosa adabu wanaathirika sana na uamuzi wa jana wa huyu mwanamke wa shoka.
 
Wakiacha na posho unafikiri kuna mtanzania atawalalamikia? Kula kwao pesa wasioitolea jasho ndo kunatupa mashaka siyo Dr. Tulia tu bali Watanzania wote.
 
Wabunge wote pale Dodoma kiongozi wao ni Mh Spika na Naibu spika. Kwa lolote litakalo wapata anahusika kujua wako wapi wakifanya majukumu gani kwa ajili ya umma. Kama mbunge anakosa adabu na kushindwa kuaga kwa spika anahesabika kama mtoro. Kama kiongozi wa taasisi lazima atoe adhabu. Mleta mada hujui mantiki ya ukisemacho.
Wabunge wanaopata peza za jimbo kwa chadema hawafiki arobaini kati ya wabunge karibu tisini wa chadema. Ni wazi kuwa wenye kuhitaji hiyo posho ni wengi na kuendelea kuikosa ni kuwakatili na wengi ni wanawake. Hapo wenye majimbo wanawahadaa wenzao. Hata hivyo pesa ya jimbo si ya kumfanya mbunge atanue nayo kwani inauangalizi. Faida yake ni yeye anaipeleka mahali ambapo panaweza kumpa kula baada ya kuondoa changamoto za wananchi. Yote kwa yote posho hiyo ni muhimu kwao kwani baadhi wamekopa fedha benki na posho hutumika kuziba pengo hilo sasa kitendo cha kuikosa ni kujiathiri.
Kwa vyovyote itakavyokuwa hawa wakosa adabu wanaathirika sana na uamuzi wa jana wa huyu mwanamke wa shoka.
Umeeleza vyema mkuu. Huyu aliyekurupuka kuleta mada isiyo na kichwa wala miguu hana akili.
 
Nimesoma maelezo yako yanajitosheleza kama wanauwezo kwa nini wasifute mfumo wa vyama vingi wabaki wao swali lingine wanaogopa nini UKAWA wakifanya mikutano ya adhara wakati katiba ya Jamhuri ya Muungano inaruhusu mikutano ya vyama vya siasa?
Dr. Tulia amesema nini kuhusu CHADEMA kufanya mikutano ya Hadhara? Au kuna mada tofauti na hii umeamua kuchomekea tu?
 
Safi sana na kingine wasije kabisa bungeni ijulikane moja . Dr tulia ndio spika msomi kuliko wote Africa
 
It is absolutely true by 100% kuwa huyo mdada ambaye haja-Tulia anatenda kazi yake kwa maelekezo maalum kutoka the highest office in our country.
Na jambo hilo litamuumbua katika kipindi chote kilichosalia katika uhai wake .
 
Safi sana na kingine wasije kabisa bungeni ijulikane moja . Dr tulia ndio spika msomi kuliko wote Africa
Ongezea na hii mfalme Magu ndiye rais msomi kuliko wote Afrika Mashariki na Kati kama Si Afrika yote.
 
Mbona UKAWA wakifanya mambo yao kuna watu wanapata shida sana? Kama UKAWA wamesusa kila bunge likiendeshwa na Tulia, kwanini Tulia anapata shida? Kwanini asiendelee na vikao vya bunge kama kawaida? Akawaacha UKAWA wafanye yao na yeye afanye yake?

Majuzi wabunge wa CCM wakiomba miongozo kuhusu ama bunge kuwaadhibu Wabunge wanaosusa iwe kusimamishwa au kutolipwa posho, majibu ya Dr. Tulia yalisema hakuna kanuni ya bunge ilovunjwa, japo jana akaja na nyingine kuwa ameamua kuzuia posho kwa kucheki maamuzi ya Ma Spika walopita, (Inaonekana alikua anahangaika kutafuta hii) Ni nini hasa kinampa wakati mgumu mpaka kutangaza kuondoa posho za 300,000 za kikao?

Kwa posho ambazo wabunge wengi wa UKAWA wanataka zisiwepo,mbunge ambaye anapata zaidi ya Mil. 11 kwa mwezi, pesa ya mfuko wa jimbo, mikopo Bank na miradi mbalimbali, Posho ya Laki 3 kwa siku inaweza kubadilisha uamuzi wa UKAWA? Kwanini Tulia anapata shida na UKAWA kumsusia Bunge? Kwanini asiendelee na Bunge bila uwepo wa UKAWA? Kama akidi Bungeni inatosha, mijadala inaweza kuendelea, kwanini Dr. Tulia anahangaika na UKAWA kwanini asifunge vioo akaendelea kuendesha bunge?
umegeuza mada, UKAWA NDIO WANASHINDWA KUENDANA NA BUNGE Dr. TULIA AKIWEMO
 
Back
Top Bottom