Mkuu kuna usemi unasema Ukiona adui yako amekushinda unaungana nae ndio hivyo wapenda Demokrasia ambayo ni Tunda la haki Watanzania na Africa kwa ujumla ndio maana wanamtaka TrumpHalafu nyienyie tena mnataka wazungu wasiwabague, wakati hata nyie wenyewe mnakubali kabisa kuwa ni binadamu tofauti na wazungu.
Kama mnaona weusi wenu ndio sababu yenye kufanya kushindwa kuwa demokrasia sasa kwanini mnajilazimisha?na ndiyo maana kuna watu wanajichubua ili nao wawe weupe.
Sasa kama watu weusi huko kwao wanawatia shaba kila siku je,vp wakija kutawala kabisa ktk hili bara la watu weusi hali itakuaje?Mkuu kuna usemi unasema Ukiona adui yako amekushinda unaungana nae ndio hivyo wapenda Demokrasia ambayo ni Tunda la haki Watanzania na Africa kwa ujumla ndio maana wanamtaka Trump