Kwanini Diamond ana tabia ya udokozi kwa nyimbo za wasanii wengine wa ndani na nje?

Nimesoma muziki darasani kabisa ila mimi niko kanisan,
haya sasa..tatizo la diamond kisheria liko wapi hapo? na kwa hapo alipokopi kama usemavyo sheria inasemaje na ni sheria ipi hiyo? na jee,nini consequences za hiyo copying if any?
 
haya sasa..tatizo la diamond kisheria liko wapi hapo? na kwa hapo alipokopi kama usemavyo sheria inasemaje na ni sheria ipi hiyo? na jee,nini consequences za hiyo copying if any?
Huo wimbo sijausikia so siwezi kuwa specific ila kwa ujumla ukitaka kutumia sehemu ya muziki wa mtu lazima upate idhini ya mhusika hata kama utaiboresha, sheria ya hakimiliki ndiyo inayohusika, na mwenye muziki wake anaweza kudemand fidia ya kutumia wimbo wake
 
KIVULI CHA KIBA kinamtesa pimbi huyo, salome aliichukua nzimanzima,dayna nyange aliwahi kulalamika,h baba aliwahi kulalamika,msondo wamemshtaki,eneka kuanzia beat had video kapita kwa davido,ney wa mitego huyo nae kaibiwa kionjo chake cha kwenye maku-zi mjomba kipaji hakilazimishwi muache king fanya kama hayupo hivi uone utakavyotulia na kufanya poa bt kingine ni mashabiki wake kumpa kichwa kwamba anatoa nyimbo nying ndani ya muda mfupi sasa muda mwingine inabidi alazimishe kurekodi tuu ili atoe ndo yanakuja hayooo ya kudokoa dokoa hahahaaaa watakufunga paka we.
Kiba ata harmonize hamfikii, uje na hoja nyingine.
 
Huo wimbo sijausikia so siwezi kuwa specific ila kwa ujumla ukitaka kutumia sehemu ya muziki wa mtu lazima upate idhini ya mhusika hata kama utaiboresha, sheria ya hakimiliki ndiyo inayohusika, na mwenye muziki wake anaweza kudemand fidia ya kutumia wimbo wake
Kucopy ni kutumia neno waka waka? Ambalo hata ney hakuwa wa kwanza kulitumia shakira ashawahi kulitumia na yeye shakira siyo wa kwanza pia.
Yani hakuna alichocopy zaidi ya kuita wimbo waka waka na kwenye chorus kutaja waka waka.
Au nyimbo zikifanana majina nako ni kucopy?
Hata hivyo ney na mond marafiki sana wanatengeneza atention tu hakuna lolote
 
Mmh katika dunia hii hakuna kitu kipya, mimi lilizani utakuja na Tittle inayosema (kwanini Diamond amefanikiwa zaidi)

Mm sina Team wote wasanii wangu, lakini naona huyu Dogo Chibu mnamuandama sana mlitaka wote wasanii wafanane. Chibu atabaki kuwa chibu miaka 1000 kiba atabaki kuwa kiba miaka 1000.
 
Ku-copy alafu ukiaboresha sio kosa...As long as umefanya ubunifu!!!(Hii nayo nimecopy ila nikaboresha) :)
 
Watu wameuvaa mkenge wale marafiki sana sana.
Hata ney uwa anawadiss wasanii wengine lakini siyo diamond kweli wanawachezesha watu kiduku
siyo urafiki au nn maana ya hii thread kwa upana wake ni MASHAKA YA WATU JUU YA UWEZO WA DIAMOND KI UTUNZI maana the way unazungumza ndugu yangu ni juu ya hatua za kisheria juu yake NO the meaning is uwezo wake kimuziki.
 
Sasa kaiba nini? Hilo neno waka waka hakuanza litumia ney au tuseme ney kaiba kwa shakira?
Kufanana majina kwa nyimbo hakujawahi kuwa wizi ni nyimbo ngapi zina title ya mpenzi? Au my love au malaika?
 
Back
Top Bottom