Imeshakuwa desturi sasa, Diamond akitoa wimbo wowote ule lazima yaibuke malalamiko kutoka kwa wasanii wenzake kuwa amekopi vitu kadhaa kutoka kwenye wimbo/nyimbo zao.
Na wasanii hawa wanakuwa na ushahidi unaojitosheleza Kanisa! Mfano wimbo wa WakaWaka tayari msanii mwenzake Nay wa Mitego ametishia kumpeleka mahakamani kwa kumuibia Korasi.
Wasanii wengi wameshalalamika sana kuhusu Diamond wakiwemo hadi wasanii wa nyimbo za injili
Why always Diamond, platinum, Chibu, Dangote, Simba, Mnyama?