Kwanini chama cha CHADEMA hakipendwi na watu wengi siku hizi?

Mkuu Mugabe, sasa nenda ukamdanganye mwenyekiti wako wa taifa halafu umshauri aondoe ule udikteta wa kuwazuia kufanya mikutano. Si mna uhakika hawapendwi wape uhuru wa kufanya shughuli zao bila vikwazo tuone.
Mkuu puneinen , mimi ni mwana CUF,
 
WanaJF napenda niwaletee huu Uzi ili tuelimishana vizuri maana Mimi Hilo swali lilinishinda kujibu.

Jana wakati natoka KAHAMA nikielekea Dodoma kwenye basi ilijitokeza hii maada, watu wengi walisema haipendi tena chadema kuliko kipindi kabla ya uchaguzi wa 2015.

Wengi walisema chadema ni chama cha kikabila , wengine wakasema ni chama cha ukazikazini, wengine wakasema ni chama cha ukoo wa Mtei na Mbowe, wengine wakazidisha wakasema ni SACCOS ya watu kupitishia ruzuku, mara wengine wakanena ni chama cha kifisadi kabisa, mwingine akasema hakina demokrasia ya kweli.

SASA, mimi ninaomba mnisaidie nijue ukweli, japo kuna watu wanafanya utafiti kupitia shirika moja nao watatuambia kama kweli chadema hakipendwi na watu wengi hasa wa umri kuanzia miaka 35 hadi 100.
Wewe na ubwege wako ndio unaowachukia chadema,inaelekea wewe ni Bashite
 
Nakililia chama changu CHADEMA, kimepoteza dira, kwa sababu ya m/kiti wangu kubadili gia angani, ukabila, udini na ukanda.
 
WanaJF napenda niwaletee huu Uzi ili tuelimishana vizuri maana Mimi Hilo swali lilinishinda kujibu.

Jana wakati natoka KAHAMA nikielekea Dodoma kwenye basi ilijitokeza hii maada, watu wengi walisema haipendi tena chadema kuliko kipindi kabla ya uchaguzi wa 2015.

Wengi walisema chadema ni chama cha kikabila , wengine wakasema ni chama cha ukazikazini, wengine wakasema ni chama cha ukoo wa Mtei na Mbowe, wengine wakazidisha wakasema ni SACCOS ya watu kupitishia ruzuku, mara wengine wakanena ni chama cha kifisadi kabisa, mwingine akasema hakina demokrasia ya kweli.

SASA, mimi ninaomba mnisaidie nijue ukweli, japo kuna watu wanafanya utafiti kupitia shirika moja nao watatuambia kama kweli chadema hakipendwi na watu wengi hasa wa umri kuanzia miaka 35 hadi 100.
ni chama cha hovyo kinachoongozwa na zero ya form 6
 
Sio chadema tu vyama vyote mizinguo sio ccm wala ACT wote ziro ,chadema walikua wanaonesha uhai zamani sio sasa hawana dira.Ccm ndo usiseme agenda ilikua viwanda lakini jiulize habari unazozisikia kwa sasa zina uhusiano hata kidogo wa viwanda. Kwa sasa kila mmoja kaichoka nchi .
 
WanaJF napenda niwaletee huu Uzi ili tuelimishana vizuri maana Mimi Hilo swali lilinishinda kujibu.

Jana wakati natoka KAHAMA nikielekea Dodoma kwenye basi ilijitokeza hii maada, watu wengi walisema haipendi tena chadema kuliko kipindi kabla ya uchaguzi wa 2015.

Wengi walisema chadema ni chama cha kikabila , wengine wakasema ni chama cha ukazikazini, wengine wakasema ni chama cha ukoo wa Mtei na Mbowe, wengine wakazidisha wakasema ni SACCOS ya watu kupitishia ruzuku, mara wengine wakanena ni chama cha kifisadi kabisa, mwingine akasema hakina demokrasia ya kweli.

SASA, mimi ninaomba mnisaidie nijue ukweli, japo kuna watu wanafanya utafiti kupitia shirika moja nao watatuambia kama kweli chadema hakipendwi na watu wengi hasa wa umri kuanzia miaka 35 hadi 100.
huku kwetu ukitaja ccm unakula panga au shaba
 
Pole na walio kutuma ukweli hakuna chama pinzani imara kuwahi tokea kama Chadema...ndio nyie mlikua mnaota oooh chadema kitakufaa mara ooh hawafiki 2014..mbinu zeenu nyepesi tunawajua nyie mabashitessm aka watekaji
 
WanaJF napenda niwaletee huu Uzi ili tuelimishana vizuri maana Mimi Hilo swali lilinishinda kujibu.

Jana wakati natoka KAHAMA nikielekea Dodoma kwenye basi ilijitokeza hii maada, watu wengi walisema haipendi tena chadema kuliko kipindi kabla ya uchaguzi wa 2015.

Wengi walisema chadema ni chama cha kikabila , wengine wakasema ni chama cha ukazikazini, wengine wakasema ni chama cha ukoo wa Mtei na Mbowe, wengine wakazidisha wakasema ni SACCOS ya watu kupitishia ruzuku, mara wengine wakanena ni chama cha kifisadi kabisa, mwingine akasema hakina demokrasia ya kweli.

SASA, mimi ninaomba mnisaidie nijue ukweli, japo kuna watu wanafanya utafiti kupitia shirika moja nao watatuambia kama kweli chadema hakipendwi na watu wengi hasa wa umri kuanzia miaka 35 hadi 100.
Lakin kilazaa wewe ningekuona una akili lau kidogo kama ungeuliza swali nini kifanyike kupunguza mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali nchin kwa sasa?? Kidogo ungeonekana una akili angalau za kukupeleka chooni, lakin kwa hiki ulicho post hapa inaonesha hapo ulipo umevaa ponpon unasubiri uje ubadirishwe .

KIFUPI SIASA ZA KUSHAMBULIANA KIVYAMA KWA WAUNGWANA NA WENYE AKILI TIMAMU KABISA WANAONA ZILISHA PITWA NA WAKATI KWA SASA , HOJA ZA MSINGI NI ZA KULIJENGA TAIFA PEKEE BASI ILI TUJIKWAMUE KATIKA MADHILA HAYA TULIYO NAYO WATANZANIA KWA SASA HASA KIUCHUMI NA KIJAMII

lakin ukiona jitu zima na midevu yake limetuna eti linaanzisha thread za kushambiliana kivyama kwa sasa!! Basi lazima jitu hilo kama sio limekaa kwenye pot linaita mtu wa kulitawaza basi limevaa ponpon anasubiri abadilishwe.
 
alafu basi lenyewe linatoka kahama eti linaishia dodoma.
hujui watu wa dodoma wewe?
 
Back
Top Bottom