Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 77,399
- 124,478
Raia hawaendeshi broadcast services moja kwa moja.UKimstua hata raia wa izo nchi nao huwa wanapiga kelele nayenyewe anakua mkali🤣🤣
Raia washabiki wa Manchester United wakitaka vipindi visitishwe BBC utangaze mechi ya Manchester United live, professionals wa BBC wapangue programmes zao zote kufuatisha washabiki wa Manchester United wanasema nini?
Na hata hao raia umeona subset ndogo tubya Twitter.
Kwani BBC walikuwa na kipindi cha kutangaza kesi zote za ICJ live, halafu ikajabm kesi dhidi ya Israel wakakifuta kipindi?