Mambo mengine ni kulaumu tu bila kujua.Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
Siyo vyombo vyote vikubwa vinaonesha, BBC ni chombo kubwa hawaoneshi.Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
Hujavitaja ,,hebu vitaje tuone kama ni vikubwaVyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
Wakati magaidi wa hamas Wanawavamia islael uliongea hayaa??Israhel ni majambazi wa hii dunia
wanaonyesha live ( siyo continuous), lakini wanaonesha vizuri tu.....sema wewe utakuwa wa dini ile inayochukia wazunguVyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
NdioWakati magaidi wa hamas Wanawavamia islael uliongea hayaa??
Ngoja hao hamas wavune walichopanda. Au waombe msamahaaNdio
Hata Marekani wako bussy na Kesi ya mgombea Urais mtarajiwa 2024- D Trump, lakini CNN wapo hewani katika genocide case iliyofunguliwa na Afrika kusini.Mambo mengine ni kulaumu tu bila kujua.
BBC ni Public broadcaster wa Waingereza hivyo priority Yao iko kwa Waingereza kwanza.
Wiki hizi mbili UK kuna scandal kubwa sana inaendelea wa wafanyakazi wa Posta ambao walifungwa kwa wizi kumbe shida ilikuwa software.
Sasa leo kuna public inquiry ndio imeanza tena leo na mhusika mkuu ndio anatoa ushahidi. Kwahiyo karibu vyombo vyote vya habari vya Uingereza vimeelekeza nguvu huko.
Hata shughuli nyingi za serikali zinesimama ili waziri mkuu na mawaziri wengine kutoa muda wa kutosha kushughulikia scandal hii na kuhakikisha wote waliofungwa wanaachiwa na kulipwa fidia.
Mkuu,Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
Huko nyuma Cecili Mafia ilikuwa mafia namba 1 duniani. Kwa sas Israel imeipiku Cecili Mafia, Israel ndio mafia namba 1.Israhel ni majambazi wa hii dunia
Waingereza na BBC yao ndio waanzilisha wa Taifa la Israel. BBC haiwezi kutangaza LIVE case ya genocide ya jamaa zao.Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
Kama priority ni kwa waingereza habari za TB joshua zinawahusu waingereza??Mambo mengine ni kulaumu tu bila kujua.