stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,708
- 2,570
Angekuwa hana uchu wa madaraka asingemtesa dr Besigye mpaka mzee wa watu ameamua kutulia asijekufa kabla ya wakati wake. Wala asinge mvunja mifupa Boby wine.Mzee Museveni juzi amesema ya kwamba yeye HANA uchu wa madaraka SEMA tu Waganda ndio wanataka aendelee kuwa Rais wao na ndio maana wanamchagua Kila uchaguzi! Ahahahahaha!!!