Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,444
- 40,538
Mbowe bila kupinduliwa ataachia madaraka?Walianza Burkinafaso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini Kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi??
CCM bila kupinduliwa wataachia madaraka?!!Mbowe bila kupinduliwa ataachia madaraka?
Hebu iweke picha yake madogo waliozaliwa juzi waelewe mkuuKuna mwingine uganda....yeye Alisha sema wazi wazi......yeye ni kotapini Ile ya kwenye baiskeli...kotapini Huwa inaingia Kwa kugongelewa na nyundo...pia utokaji wake ni Kwa kuigonga....Huwa kotapini haitokagi kirahisi rahisi....
Raisi wa Uganda yupo vizuri sema tu shida ni kumezeshwa siasa za western kwamba kiongozi akikaa madarakani mda mrefu basi ni diktetaKuna mwingine uganda....yeye Alisha sema wazi wazi......yeye ni kotapini Ile ya kwenye baiskeli...kotapini Huwa inaingia Kwa kugongelewa na nyundo...pia utokaji wake ni Kwa kuigonga....Huwa kotapini haitokagi kirahisi rahisi....
Kwa nini apinduliwe??Mbowe bila kupinduliwa ataachia madaraka?
Unapo andika hii comment yako upo Uganda au ni Kwa hisia zako??Raisi wa Uganda yupo vizuri sema tu shida ni kumezeshwa siasa za western kwamba kiongozi akikaa madarakani mda mrefu basi ni dikteta
Haahaa msaada wa googleHebu iweke picha yake madogo waliozaliwa juzi waelewe mkuu
Jibu la jino kwa jino?ππCCM bila kupinduliwa wataachia madaraka?!!
Cc. Prof Ibrahim LipumbaJibu la jino kwa jino?ππ
Hakuna njia nyingine ya kupambana na huo wizi wa kura wa CCM zaidi ya Mapinduzi???kwa mfano wewe unafurahia uwepo wa CCM na wizi wa kura?
Exactly.Viongozi wa Afrika ni hovyo kabisa wakiwa na shibe watakufundisha mambo ya democracy sema njaa inapowapata wako tayari kufanya kila kitu ikiwemo kuiba kura ili kubaki na shibe yao.The only solution to get these mad leaders out is military intervention
Haupo, maana wanashirikiana na baadhi ya viongozi wa juu wa vyombo vya dola kupora chaguzi za nchi. Njia pekee huwa ni machafuko, au hasa mapinduzi ya kijeshi.Hakuna njia nyingine ya kupambana na huo wizi wa kura wa CCM zaidi ya Mapinduzi???