Kwanin Baba Nyerere hakutuganisha na rwanda na burundi badal yake akatuunganisha na Zanzibar

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
10,385
18,040
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa

Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis

Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
 
Attachments

  • Screenshot_20240525-135530.png
    Screenshot_20240525-135530.png
    617.3 KB · Views: 7
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa

Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis

Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Hata sasa tunaweza kuungana. Kwani kuna shida?
 
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa

Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis

Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Hakuwa na akili na alikuwa mchawi.
Asingekuwa mchawi Leo Forojo Ganze asingejulikana.
 
Take a tym to learn tabia za wanyarwanda especially watutsi ndo utajuwa kwa nn BIG BRAIN NYERERE hakutaka kufanya ilo kosa. BTW wahima walimuingiza mkenge nyerere huyo huyo akapigana vita vya kagera bila yy kujuwa kwamba anaifanya HIMA EMPIRE being great again.
Lilikuwa ni kosa kumsapoti MUSEVENI alilolifanya nyerere.
 
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa

Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis

Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Ni kujuze mwaka 1884 -1885 wakati wanatugawa waligawa kote ila zanzibar ilonekana sio nchi .sababu waliona ni sehemu ya tanganyika.
kutokana na utawala ambao umefichwa historia na watu wake wakataka kuifanya sehemu state ya waarabu.
ili lilimfanya nyerere kuungana na abed sababu hakuna sehemu zanzibar iliwekwa 1884-1885 kuwa nchi.

NI akili tu
 
Nyerere alikosea sana kutuunganisha na wahuni (Zanzibar).ni Bora tungeungana na Uganda,Rwanda au Burundi na tungefaidika sana kuliko Hawa wahuni ambao chao ni chao na Cha Tanganyika ni Cha wote
Kama wewe ungelikuwa ni NYERERE hakika ungeungana na RWANDA, UGANDA na BURUNDI kisha wangekushawishi ufanye annexation ya EASTERN CONGO. Baada ya hapo ungejenga nao BWAWA KUBWA LA KUZALISHA UMEME INGA HEP lipo EASTERN CONGO ambalo kama litajengwa litakuwa the LARGEST OF ALL na viwanda vikubwa vya SARUJI maana eneo hilo lina LIME STONE ya kutosha. Achilia madininya kimkakati na eneo lenyewe ni la kimkakati lina rasilimali za kimkakati nyingi, lipo kati kati ya AFRICA lina hali nzuri ya kusapoti kilimo.

Afu baadae wanakugeuka kama kawaida yao.
JUST THINK OF IT......

HUWAJUWI WAHIMA WEWE......
 
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa

Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis

Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Watusi na wahutu Ni watu hatari Sana

Mfano muhutu Ni mkatili na asiye na huruma 😡 kukuua ama kuchinja MTU Ni easy..

Mtusi Ni dicteta na wabinafsi Sana na Wana nationalism ya kitusi (Kama waislaeli weusi vili)
 
Back
Top Bottom