Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 545
- 1,631
Kama anaifufua ni jambo jema na itasaidia kupunguza makali ila sio kuyamaliza kabisa.Sasa hapo ndo jpm aliharibu mana private sector aliua. Thanks to samia anaifufua
Kama anaifufua ni jambo jema na itasaidia kupunguza makali ila sio kuyamaliza kabisa.Sasa hapo ndo jpm aliharibu mana private sector aliua. Thanks to samia anaifufua
Sema mipango mibovu iliyoanziq kwa jpm. Jpm asingekuwa rais tungefika mbali sana na unemployment rate ingekuwa kidogo sanaPopulation growth, na huko mbele ndo noma zaidi wahitimu watakua wengi kuliko ajira
Ni jpm aliyekuwa anawaambia wazaliane tu mana serikali itawasomesha bure.watu wanazaliana ovyo ovyo kama nzi, unategemea nini, population inakimbilia 70m sasa
kiukweli magufuri alimuachia samia mzigo wenye lawama kubwa sana.lakini mama wawatu hakujigamba..amepambana/anapambana kimyakimya kusawazisha mashimo makubwa. makubwa.Aliyeitibua na kukoroga hiii nchi ni Magufuli kwa kuwaaminisha watu kuwa na roho mbaya dhidi ya aliyenacho. Imagine alifuta watu Zaidi ya 13,000 kazi bila replacement. Zaidi ya miaka minne graduates kama 50 elfu hawajaajiriwa.... Magufuli was a country's mess.... Tushukuru Samia alikuta nchi ikiwa na hali mbaya haswa kwa sekta ya ajira. Afadhali kwa Sasa watu waajiriwa.
Wastani wa kipato cha mtu wakati Kikwete akiwa madarakani iikuwa ni $1000 leo miaka karibia kumi tuko $1,200, hiki ni kiwango kidogo sana cha ukuaji kwa takribani miaka 10, hii inaamanisha population yetu kubwa iliyoongezeka iko katika kutumia zaidi(tegemezi) badala ya kuzalisha na saving zaidi jambo ambalo sio rafiki kwa uchumi.How.
Jpm aliplay role gani kukuza private sector zaidi ya kuiuaWastani wa kipato cha mtu wakati Kikwete akiwa madarakani iikuwa ni $1000 leo miaka karibia kumi tuko $1,200, hiki ni kiwango kidogo sana cha ukuaji kwa takribani miaka 10, hii inaamanisha population yetu kubwa iliyoongezeka iko katika kutumia zaidi(tegemezi) badala ya kuzalisha na saving zaidi jambo ambalo sio rafiki kwa uchumi.
Nchi ina mambo mengi ya kushugulikia zaidi ya walimu na madaktari, kuna ulinzi, barabara, bandari, kilimo. Bajeti kubwa zaidi ya nchi huwa inaenda kwenye ulinzi na miundombinu. Hapo bado hatujazungumzia matumizi makubwa ya matrilioni ya serikali yasiyo na tija katika kuongeza uchumi kama vile manunuzi ya ndege, magari ya kifahari na korosho.Walimu na madaktari wanahitajika sana ku accomodate hiyo number. Tungetegemea ile system ya jk ingeendelea
Hapa ndipo tatizo linapoanzia, kwenye uchumi imara serikali haitakiwi kuwa mwajiri mkuu wa kutegemewa.Unafikiri jpm angeendelea kuajiri angejenga bwawa la nyerere na SGR?,maendeleo yana gharama zake
Kwamba haya unayosema yalitokea gafla jiwe alipoingia madarakani?Nafasi hujaa, mahitaji hupungua na volume ya wahitimu pia imeongezeka.
Sio kuajiri tu ata annual salary increment ilikuwa wakika pamoja na kupandishwa madaraja.Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Tukiwaambia rais awe mchumi mnakataa hv population inavyo ongezeka sindio na ajira inabidi ziongezeke?Population growth, na huko mbele ndo noma zaidi wahitimu watakua wengi kuliko ajira
Hakuiua, aliitelekeza. Private sector ya Tanzania ni tegemezi sana kwa serikali( na hii ni by design), pale serikali inapoamua kutoa mkono ndipo inayumba kama mlevi. Serikali ikisitisha semina na mikutano yake kwa mahoteli binafsi yanayumba, tenda kubwa za ujenzi zinategemewa za serikali, kuna benki zinategemea zaidi watumishi wa serikali na serikali kuhifadhi na kukopa pesa huko, hata vyombo vya habari vinategemea zaidi matangazo ya serikali na bahasha za viongozi!. Poor us.Jpm aliplay role gani kukuza private sector zaidi ya kuiua
Aliiua kwa kuwathreaten yaani alikuwa unpredicatable hujui leo ataamka na lipi. Ki ufupi nchi haikuwa inaongozwa kwa sheria bali matakwa ya mtu. Wawekezaji wako sensitive sana hii riskHakuiua, aliitelekeza. Private sector ya Tanzania ni tegemezi sana kwa serikali( na hii ni by design), pale serikali inapoamua kutoa mkono ndipo inayumba kama mlevi. Serikali ikisitisha semina na mikutano yake kwa mahoteli binafsi yanayumba, tenda kubwa za ujenzi zinategemewa za serikali, kuna benki zinategemea zaidi watumishi wa serikali na serikali kuhifadhi na kukopa pesa huko, hata vyombo vya habari vinategemea zaidi matangazo ya serikali na bahasha za viongozi!. Poor us.
Huo ni uchumi uchwara, population inavyoongezeka sio lazima ajira ziongezeke, ajira zitaongezeka kama teknolojia nayo inaongezeka inapelekea ukuaji wa biashara. Pia ukuaji wa idadi ya watu lazima uendane na ukuaji uchumi na kuna kiwango "optimum" cha idadi ya watu katika nchi kwa nyakati tofauti.Tukiwaambia rais awe mchumi mnakataa hv population inavyo ongezeka sindio na ajira inabidi ziongezeke?
Approach ya Magu ilikuwa tofauti.Kwamba haya unayosema yalitokea gafla jiwe alipoingia madarakani?
Unasemaje? Ni kipindi gani uchumi ulikuwa stable kama kipindi cha jk? Stability ya uchumi ni imports na exports ziwe balanced. Kipindi cha jk mpaka akina obama na jiping walikuja kuangalia fursa tanzani. Jpm alivuta madictator wenzake tu akina kagame na museniKikwete aliongoza nchi kisela sana , Ana fanana na Baba anaehudumia familia na Mtaji wa biashara huku watoto wakiamini baba mpambanaji ndio maana maisha mazuri .Staili yake ilikuwa sio stahimilivu ilikuwa inadidimiza uchumi in long run....Huwezi kuajili kwa wingi huku una Portfolio mbaya ya uimara wa uchumi..Ndio maana kipindi za uongozi wake hela yetu ilishuka thamani sana kutokana na kuitengenezea serikali mzigo