Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (JPM) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.