Kwani Edo Kumwembe ungesema taarifa hiyo umeitoa kwa GENTAMYCINE na JamiiForums ungepungukiwa nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,929
119,090
Mimi (GENTAMYCINE) baada tu ya Simba Day (juzi Jumatatu Alfajiri tu) nilikuja na taarifa hapa JamiiForums, tena nikijiamini nayo kabisa nikisema kama Mchezaji Mshambuliaji wa Simba SC Mzambia Moses Phiri ataendelea kutopangwa na Kocha Robertinho basi nitamuanika hapa hapa Kiongozi wa Simba SC mwenye chuki nae kwakuwa tu kamnyima 10% ya mshahara wake na posho zake.

Cha kushangaza Mchambuzi wa Michezo Wasafi Redio, Edo Kumwembe, jana (amenukuliwa katika Mtandao wa Soka Media baada ya kuongea Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Asubuhi) akisema na akikirudia kile kile nilichokiandika hapa JamiiForums juzi bila hata tu kusema chanzo chake cha taarifa hiyo ni huu Mtandao wa JamiiForums na member ni mimi GENTAMIYCINE.

Mara kwa mara nimekuwa nikiwaombeni mno Waandishi wa Habari (wa Magazeti, Redio, Runinga na hata wa Mitandaoni) kuwa tafadhali mkiwa mnatumia taarifa zangu GENTAMYCINE zenye uhakika kwa 100% basi ili kunitia moyo na kuonyesha uungwana muwe mnafanya acknowledgement kwa source/ crediting the source, lakini nasikitika huwa hamfanyi hivyo na matokeo yake mkisema au mkiziandika huwa mnajifanya mmezitafuta nyie wakati kumbe mmechungulia kwangu mwamba wa Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi na mkatoka nazo.

Haya sasa kwa mfano kwa usiku huu huu nimepata taarifa moja kali na muhimu kutokea huko Tanga zilipo timu nne zinazoshiriki Ligi ya Kulazimisha ya Raia wa TFF Wallace Karia (Karia Forced Community Shield League) na hakuna Mwandishi yoyote wa Habari aliyoipata ila mimi GENTAMYCINE ninayo, na kwa kunikera kwenu huku wala siiweki hadharani na nawasubirini nyie wazee wa kuniibia hapa JamiiForums muiweke kama mna huo ubavu kudadadeki zenu.

Hovyo kabisa!

ANGALIZO

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi/hunipendi GENTAMYCINE hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani afe na huvutiwi na taarifa zake pamoja na uwasilishaji wake wa kipekee na usioweza kuigwa na yeyote yule kutokana na upumbavu, wivu na ujinga wako uliokutukuka, njia rahisi ni kuachana nae (nami) na uendelee kuwasoma na kuwafuatilia hao unaowaona ni bora kwako na unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha kuonyesha unanichukia na hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa kunifuatilia unaonyesha kuwa unanikubali sana na kukubali uwepo wangu uliotukuka hapa jamvini.

Nimemaliza.
 
Uwakomeshe kabisa saivi, hakuna kuwavujishia tuone watapata wapi habari. 😃
Uko sahihi Mkuu tena kwa 100% sasa Nawachunia siwapi Info nyingine ya Hatari nimeipata Usiku huu huu kutoka Tanga kwa Timu zinazocheza leo Jumatano CCM Mkwakwani sasa kama Wao ni Mabingwa kama Mimi wa kupata Taarifa Ngumu na na za Ndani za Michezo waje nayo kama wana Ubavu huo Kudadadeki zao.
 
Mimi ( GENTAMYCINE ) baada tu ya Simba Day ( Juzi Jumatatu Alfajiri tu ) nilikuja na Taarifa hapa JamiiForums tena nikijiamini nayo kabisa nikisema kama Mchezaji Mshambuliaji wa Simba SC Mzambia Moses Phiri ataendelea Kutopangwa na Kocha Robertinho basi nitamuanika hapa hapa Kiongozi wa Simba SC mwenye Chuki nae kwakuwa tu kamnyima 10% ya Mshahara wake na Posho zake.

Cha Kushangaza Mchambuzi wa Michezo Wasafi Redio Edo Kumwembe jana ( amenukuliwa katika Mtandao wa Soka Media baada ya Kuongea Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Asubuhi ) akisema na akikirudia kile kile nilichokiandika hapa JamiiForums Juzi bila hata tu kusema Chanzo chake cha Taarifa hiyo ni huu Mtandao wa JamiiForums na Member ni Mimi GENTAMIYCINE.

Mara kwa mara nimekuwa nikiwaombeni mno Waandishi wa Habari ( wa Magazeti, Redio, Runinga na hata wa Mitandaoni ) kuwa tafadhali mkiwa mnatumia Taarifa zangu GENTAMYCINE zenye uhakika kwa 100% basi ili kunitia Moyo na kuonyesha Uungwana muwe mnafanya Acknowledgement kwa Source / Crediting the Source lakini nasikitika huwa hamfanyi hivyo na matokeo yake mkisema au mkiziandika huwa mnajifanya mmezitafuta nyie wakati kumbe mmechungulia Kwangu Mwamba wa Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi na mkatoka nazo.

Haya sasa kwa mfano kwa Usiku huu huu nimepata Taarifa moja Kali na Muhimu kutokea huko Tanga zilipo Timu Nne zinazoshiriki Ligi ya Kulazimisha ya Raia wa TFF Wallace Karia ( Karia Forced Community Shield League ) na hakuna Mwandishi yoyote wa Habari aliyoipata ila Mimi GENTAMYCINE ninayo na kwa Kunikera Kwenu huku wala siiweki Hadharani na nawasubirini nyie Wazee wa Kuniibia hapa JamiiForums muiweke kama mna huo Ubavu Kudadadeki zenu.

Hovyo kabisa....!!

ANGALIZO

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
Ni Bora ya yeye alisema Kuna sehemu nilipata taarifa inawezekana hata sio kwako vile vile.

Lakini wewe sijui hiyo taarifa uliiota tu?Kama ulipewa taarifa na mtu au chanzo Fulani mbona hujatoa credit hapa Kama wewe ulivotaka kupewa credit na edo?

Watu maarufu mnakuwa nafikra za ajabu ajabu tu sijui Ni mtandaoni tu?
 
Jukwa hili la michezo nmekuja kigundua taarifa nyingi huchukuliwa na wachambuzi wengi na kijinasibu ni taarifa zao au wamezipata kupitia vyanzo vyao binafsi haliyakua sivyo.

Nawapongeza sana wadau muhimu kama GENTAMYCINE na wengine Kwa kutupasha taarifa na kuchangamsha jukwaa letu PENDWA.
Asante, Amina, Ubarikiwe Mkuu na tupo pamoja. Hii post yangu nimeiheshimu, umeniheshimisha na ni ya Thamani sana Kwangu.
 
Ni Bora ya yeye alisema Kuna sehemu nilipata taarifa inawezekana hata sio kwako vile vile.

Lakini wewe sijui hiyo taarifa uliiota tu?Kama ulipewa taarifa na mtu au chanzo Fulani mbona hujatoa credit hapa Kama wewe ulivotaka kupewa credit na edo?

Watu maarufu mnakuwa nafikra za ajabu ajabu tu sijui Ni mtandaoni tu?
Rubbish and Nonsensical.
 
Unaongea mashudu mno. Kwanza unatumia nickname halafu unataka acknowledgement, rudi shule kwanza
Unanichukia ( Mnanichukia ) na Hunikubali ( Hamnikubali ) halafu Kutwa ( 24/7 ) bado tu unanifuatilia ( mnanifuatilia ) hapa JamiiForums kwa ama Kuzisoma Threads
au hata Posts zangu. Mimi mbona siwashobokei?

Nashauri kwakuwa nimekuwa Chukizo Kwenu naomba msiwe hata mnawashwawashwa Kusoma Mada zangu hapa JamiiForums bali kasomeni / kazisomeni za wale mnaowana ni bora zaidi yangu na mnawakubali.

Mnaboa na Kukera...!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Back
Top Bottom