OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,007
- 114,354
Makini pasipo kuwa makini maisha ya tanzania saizi mi naona kama maigizo flani hivi.Yapo maajabu mengi hapa Tanzania,husasani katika sia lakini kwangu hili ni ajabu la mwaka.Na ajabu hili linaleta picha kwamba kuna watu hawana aibu kabisa aisee.Hivi unawezaje kumsimama kwenye TV kila dakika kadhaa ukihamasisha Watanzania kulipa kodi kwa maendeleo yao na Wewe hulipi kodi kwenye mshahara wako?Inashangaza kwa kweli.Inasemwa katiba ndo imeweka hivyo,hivi katiba ikivunjwa kwenye hili si ni USHUJAA.Mbona haki ya kujieleza kikatiba imefunjwa nk nk......
mbona Husseio Bashe,ameligusia bungeni?Walioko mjengoni undo wenye matatzo hauwezi sikia wanalizungumzia hilo nafkri ndo maana wamemfukuza Tundu Lisu make yeye angegusa pasipogusika
mbona Husseio Bashe,ameligusia bungeni?
matusi yapiUmemtukana Raia Wa Kwanza. Andaa Mil 7!
Nashauri Pale alipojinyea mgombea urais mwaka Jana wajenge mnara Wa kumbukumbu.Yapo maajabu mengi hapa Tanzania,husasani katika sia lakini kwangu hili ni ajabu la mwaka.Na ajabu hili linaleta picha kwamba kuna watu hawana aibu kabisa aisee.Hivi unawezaje kumsimama kwenye TV kila dakika kadhaa ukihamasisha Watanzania kulipa kodi kwa maendeleo yao na Wewe hulipi kodi kwenye mshahara wako?Inashangaza kwa kweli.Inasemwa katiba ndo imeweka hivyo,hivi katiba ikivunjwa kwenye hili si ni USHUJAA.Mbona haki ya kujieleza kikatiba imefunjwa nk nk......
Angekuwa raisi hili neno hapa JF lingezuiwa kuandikwa ila kwasababu sio rahisi,ni sawa tu.Nashauri Pale alipojinyea mgombea urais mwaka Jana wajenge mnara Wa kumbukumbu.