Hamza Ayub
Member
- Nov 24, 2016
- 7
- 3
Kua mpole phase ziko saba na hii ni ya tatu tu.......Hakuna Vita ya madawa ya kulevya Tanzania kilichopo ni mazingaombwe tu, hv msambazaji wa madawa hayo kiasi kikubwa kabisa kilikamatwa afrika kusini na mtu huyo amekamatwa, je amehijiwa mzigo huo alitumwa na nani, hilo watanzania wengi wanataka wamjue huyo mshika dau akamatwe na wananchi wanamfahamu wanataka wasikie jina Lake hapo ndo itaonekana kweli serikali imedhamilia vinginevyo ni mazingaombwe tu!