Kwahiyo Dua za Yanga ni za upande mmoja tu, Waluteri na Wakatoliki au hata Mwamposa hawamo?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
126,599
241,426
Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.

Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.

Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, au Dini zao haziruhusu dua michezoni?

Naomba kuwasilisha

Screenshot_2024-08-02-15-19-18-1.png
Screenshot_2024-08-02-15-19-09-1.png
Screenshot_2024-08-02-15-18-56-1.png
 
Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.

Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.

Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, ai dini zao haziruhusu dua michezoni?

Naomba kuwasilisha

View attachment 3059653View attachment 3059654View attachment 3059655
Na wewe punguza ujinga, hizo timu za kariakoo ni za waswahili, mambo mengine yaache kama ulivyoyakuta, usifurahie tu unavyoona matokeo uwanjani hao ndio wanaocheza mechi nje ya uwanja.

Kuna Mkristo anayejuwa Kurujuwani?

Je kuna Mkristo anayeweza kukaa hivyo kwenye jamvi?
 
Ila na viongozi nao wanatakiwa wajitathmini. Hata kama kwenye ngazi za juu karibia wote ni watu kutoka imani moja, hawatakiwi kuchanganya kila kitu na hiyo imani yao.

Wakumbuke tu timu ina mashabiki na wanachama wa kutoka kwenye imani na matabaka yote katika jamii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom