Upinzani huwezi kufa kwani wapinzani wana akili,BYE BYE UPINZANI TANZANIA.
NAANZA kuona KIFO Kibaya kwa UPINZANI wa TANZANIA masikini ambao uliweza kuishi kwa kutegemea makosa na U DHAIFU wa SERIKALI,
SASA hivi RAIS akitoa HOTUBA inaungwa mkono na WATANZANIA wote na wanaijadili kwa muda mrefu huku kila HOTUBA ANAYOTOA ikileta MATOKEO ya moja kwa moja kwa WANANCHI mfano aliposema kuhusu ufinyu wa BAJETI wa MAHAKAMA baada ya siku amewakabidhi BILIONI 22, Amezungunza na wazee wa DSM kuhusu JENGO la WAZAZI MUHIMBILI tayari JANA MAOFISA wa WIZARA WAMEHAMA na leo kazi ya kuweka VITANDA inaendelea ili WAJAWAZITO walale humo nauonea HURUMA sana.
UPINZANI ndio maana kila SIKU unazungumzia suala la ZANZIBAR kama AGENDA kuu Sasa sijui baada ya MARCH 20 UCHAGUZI utakapokwisha sijui WATAONGEA nini MASIKINI,
WA JIANDAE tu turudisha VITI VYA UBUNGE mwaka 2020 kwa CCM WALIOVIAZIMA MWAKA JANA
ITAKUWA ni HUZUNI kubwa kwa UPINZANI wa Tanzania kila UKIHANGAIKA WANANCHI hawana muda nao WANASIKILIZA kasi ya RAIS tu katika FALSAFA yake katika KUPAMBANA na UFISADI aliyoipa jina la KUTUMBUA la MAJIPU .
bYE BYE UPINZANI TANZANIA.
Agenda kubwa ya upinzani kwa mda mrefu imekuwa ni ufisadi ubadhirifu na matumizi mabaya na ya urafi yanayofanyika serikalini.
Agenda hii haiwezi kufa kirahisi itachukua mda mrefu.
Mf. act wazalendo wameonyesha mambo kumi ambayo bado jpm kuchukua hatua.
Unaweza sema ni mapema mno,
Bado zote hizo ni agenda.
Lakini mwisho jpm namuumga mkono 100%
Anayoyafanya ndio kilio cha upinzani miaka yote,
Upinzani usibezwe na kupuuzwa
Kwa sababu una mchango mkubwa kwa haya yanayotokea.