Poleni sana. Upinzani umekufa Tanzania. Alichotabiri Wasira ndicho kinachoendelea kutokea ijapokuwa na yeye amekufa kisiasaYako mambo mengi yanayopaswa kuzungumzwa na kutiliwa mkazo. Upinzani utakua na kuendelea kupanuka.
Strictly speaking,Naweza kukuhakikishia kuwa wapinzani hawatakosa la kuzungumza hata kwenye serikali zilizoendelea kama Uingereza na Marekani au Canada, Australia, Sweden, etc upinzani una mambo tele na ajenda mpya kila siku sembuse hapa kwetu ambapo hata wajinga wana mambo tele ya kuikosoa serikali yao.
Unaweza kuu wapinzani lakini huwezi kuua fikra kinzani, hayo ni maumbile yaliyoumbwa na Mwenyezi Mungu!!Upinzani umekufa Tanzania.
Tunaposema upinzani utakufa hatumaanishi wapinzan hawatakuepo.mimi si mpinzani lkn upinzani hauwezi kufa.hayo yote yanayo fanywa na makufuli ndio yalikuwa yakisemwa na upinzani.ukumbuke upinzani ulisha tengeneza kizazi chake.
Ni lini ulisikia upinzani wakiongea kuhusu kupinga ufisadi ktk kampeni zao? Tuwe wakweli!mimi si mpinzani lkn upinzani hauwezi kufa.hayo yote yanayo fanywa na makufuli ndio yalikuwa yakisemwa na upinzani.ukumbuke upinzani ulisha tengeneza kizazi chake.
Kimbilio la wewe mwerevu ni Bandarini tu.Zanzibar imekuwa kimbilio la Vilaza
hahaha
Sijui kama ww n MtanzaniaKimbilio la wewe mwerevu ni Bandarini tu.
Huyo Magu anatwaga maji kwenye sinia kwa sababu haelewi tatizo ni nini hapo bandarini kila siku yuko hapo hapo.
POLE sanaBYE BYE UPINZANI TANZANIA.
NAANZA kuona KIFO Kibaya kwa UPINZANI wa TANZANIA masikini ambao uliweza kuishi kwa kutegemea makosa na U DHAIFU wa SERIKALI,
SASA hivi RAIS akitoa HOTUBA inaungwa mkono na WATANZANIA wote na wanaijadili kwa muda mrefu huku kila HOTUBA ANAYOTOA ikileta MATOKEO ya moja kwa moja kwa WANANCHI mfano aliposema kuhusu ufinyu wa BAJETI wa MAHAKAMA baada ya siku amewakabidhi BILIONI 22, Amezungunza na wazee wa DSM kuhusu JENGO la WAZAZI MUHIMBILI tayari JANA MAOFISA wa WIZARA WAMEHAMA na leo kazi ya kuweka VITANDA inaendelea ili WAJAWAZITO walale humo nauonea HURUMA sana.
UPINZANI ndio maana kila SIKU unazungumzia suala la ZANZIBAR kama AGENDA kuu Sasa sijui baada ya MARCH 20 UCHAGUZI utakapokwisha sijui WATAONGEA nini MASIKINI,
WA JIANDAE tu turudisha VITI VYA UBUNGE mwaka 2020 kwa CCM WALIOVIAZIMA MWAKA JANA
ITAKUWA ni HUZUNI kubwa kwa UPINZANI wa Tanzania kila UKIHANGAIKA WANANCHI hawana muda nao WANASIKILIZA kasi ya RAIS tu katika FALSAFA yake katika KUPAMBANA na UFISADI aliyoipa jina la KUTUMBUA la MAJIPU .
bYE BYE UPINZANI TANZANIA.