mkerewe halisi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 299
- 152
Kafieni mbali kabisa. Mazombie nyie. Ccm imeshawamaliza akili sasa vichwa empty
Sikiliza mkutano wa ACT. Nimeanza kuamini nyie ni wapumbavu na malofa wala Mkapa hakukosea.
Kafieni mbali kabisa. Mazombie nyie. Ccm imeshawamaliza akili sasa vichwa empty
Linamo sisiem ingelikuwa inatekeleza sera zake sidhani kama leo tungeongelea maadui 3 tulioambiwa na Nyerere toka uhuru mpaka magufuli anawanadi leo
Kajipange uje tena.
heee kipaji kimegeuka na kuwa taaluma!!! anawatesa huyu mtu hatari. Nasikia hata hamlali siku hizi kazi ni kuumiza akili kupambana naye. tatizo siyo yeye tatizo ni watanzania kuwashtukia na kuamua kudai mabadiliko ya kweli
mnajidanganya, lowasa kaja na ilani yake hatofuata hiyo ya Mbowe. Yeye keshamalizana nao hao hawamdai kitu!
Wasalimie huko uendako. .
Kusema kweli lowasa amewavunja moyo wanamabadiliko wote sio UKAWA tu hadi wa vyama vingine
Bora uwaambie maana wanajifanya wamevaa miwani ya mbao. Hawana chao chadema imeshauzwa. M4C imemezwa na 4u movement nalo wanajifanya hawalioni.
Tafadhali Tutoe Sisi Wana CCM Na Baki Na Hao " Wapumbavu Na Malofa ". Kuifananisha CCM Na Hivyo Vyama Vingine Ni Sawa Na Kukifananisha Kisiwa Cha Mafia Na Nchi Kubwa Na Iliyotukuka Kwa Kila Kitu Ya Marekani ( United States Of America ) Nikiwa Na Maana Ya Kwamba Wapinzani Wote Wa Tanzania Ni Sawa Na Kisiwa Hicho Cha Mafia Na CCM Ndiyo Nchi Ya Marekani.
ni vigumu sana akiri ndogo kuielewa kubwa... hivi unakumbuka uzinduzi wa kampeni CCM mwaka 2005 JK2 alivoongea vizuri na maneno mengi na yenye mvuto? kipi kafanya sasa. I REPEAT CCM nahisi ishalaaniwa so hata ashuke malaika agombee uraisi simpi kura yangu ng'oooo. LOWASA JANA TULIMUELEWA SANA WANA UKAWA.... ILA WANA CCM ndo mnapata shida kuelewa.
Utakuwa unakurupuka badala ya kufikiri kwanza kabla ya kuandika. Kiwango cha hao maadui kiko vilevile au kimepungua?
Acha siasa za kitoto tuambie ccm watafanya nini kuboresha maisha ya wananchi sio kumsikitikia Lowasa. Baada ya miaka 54 nini kipya kitafanyika sio upuuzi wa kumsikitikia Mgombea.
Wewe ndiyo wakuacha ushabiki. Cheusi msikigeuze cheupe.
Kimepungua wap?? Hadi leo kipindupindu kinasumbua tena dar!!!!! Je huku vijijin? Hospital hamna dawa maduka ya watu binafsi yana dawa!!!!kodi tunatozwa hadi kwenye sukar inaama hadi watoto wanalipa kodi izo pesa zinaenda wap?