Kwa wenyeji wa Arusha, lodge gani ni nzuri na affordable?

Ilboru safar lodge ni USD 100 bb , au nenda outpost lodge kwa budget yako utaweza kupata hotel nzur kama the arusha hotel. Or Kibo palace hotel
 
kuna lodge iko opposite na Selian hospital, jina limenitoka kidogo na bei yake ni 25k per night
 
Sasa nenda ulizia Nara motel pazuri sana hapo nyuma ya TFA.security IPO ya kurosha
 
Silver Palm Hotel. Ipo karibu na Selian Hospital. Chumba kuanzia 65000 mpaka 100,000
 
Back
Top Bottom