Kwa watumiaji wa Paypal na online purchasers

Nenda kafungu account equity bank, kama hauko kijijini! Huitaji kufanya activation yoyote ukishapewa kadi yako uliyofungua kwa t.sh 10000 tu inakuwa iko tayari nikuweka hela na kununua upendacho mahali popote duninia online
Ngoja nikaone...Thanks kwa Taarifa.
 
okay, so far response nayopata ndio kama nilipoeleza hapo juu sasa sijui tatizo lipo CRDB au Paypal?
siyo EQUITY peke yao hata BANC ABC tena faster tu una link na paypal na ku verify wana customercare nzur so far mim ndo chaguo langu la kwanza
 
Nimezitumia card za Benki zote 2.
Equity wanabana kwenye refund hadi msumbuane
BANCABC wao shida ipo kwenye makato ya hapa na pale yaani ukiuliza salio kwa mobile banking wanakata,kila online transaction wanakata kiwango fulani pia ukijaribu kununua kitu wakati salio lako halitoshi wanakupiga penalt 1200 kila unavyojaribu.
Wakati mwingine unaweza kuhamisha salio toka kwenye tigo/mpesa ukapata ujumbe muamala umekamilika ila zikachelewa kuingia kwenye system yao nawe ukajaribu nunua vitu unapata ujumbe hela haitoshi na zikija kuingia unakuta wameshafanya yao kwenye penalt.
Hiyo ndio shida yao hao jamaa ila kwenye refund wapo poa.
Equity nimepotezea refund kama mbili hivi toka aliexpress.
So bora BANCABC japo umakini wahitajika
 
Aisee hapo kwenye penalty wameshakula pesa nadhan inafika laki ingawa wanadanganyaga hawana makato lakin ukichukua statement utakuta kuna makato yasiyoeleweka
 
Back
Top Bottom