Kwa wasomaji wa vitabu

Mimi ni Polygamist reader at the same time ni Neurotic reader
Hahahaha wewe umetisha unaplay pande zote, Unasoma kitabu gani kwa sasa ama ulichowahi kukisoma na kikakubadilisha mtazamo wako juu ya jambo fulani
 
Mimi ni introvert,napenda fiction genre ya mystery na thriller..hapa nipo nasoma vitabu vya david baldacci
 
Back
Top Bottom