themanhimself176
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,806
- 2,830
Comments zote izo mmeshindwa kuweka picha duuh
zipo mkuu,ebu jaribu kupitia comments za mwanzo.Comments zote izo mmeshindwa kuweka picha duuh
zipo mkuu,ebu jaribu kupitia comments za mwanzo.
Na mm nilisikia hivyo kwenye kumuaga kibonde ila sijajua ni patrick naniNi Patrick nimemsikia akitajwa leo na Siza. Wakati wa kumuaga Kibonde
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu.Mkuu ngoja nitalifanyia kazi
Nitakuletea majibu kamili
Shukrani mkuu.
Hivi ni talanta au professionalism?
Professionalism nina maana kwamba kuna kozi kwa ajili ya ishu kama hizo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni talanta au professionalism?
Professionalism nina maana kwamba kuna kozi kwa ajili ya ishu kama hizo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wamekosea jibu sahii ni hili anaitwa Patrick masele
Huyo pichani ukitaka kuthibitisha nenda Instagram search hilo jina
Utakuja kunishukuru
View attachment 1047348thread over!
Si dafu wa siri ya mtungi huyuuuWote wamekosea jibu sahii ni hili anaitwa Patrick masele
Huyo pichani ukitaka kuthibitisha nenda Instagram search hilo jina
Utakuja kunishukuru
View attachment 1047348thread over!